Hivi haya bado yako siku hizi?

Hivi haya bado yako siku hizi?

Kudadadadeki jamani munaniliiiiiiiiiiiza. Uko wapi kimwana wangu? Ahhhh barua zako zilikuwa zinanikosha shuleni. ulinifanya nionekane mtu kila siku ya barua jina langu linatajwa!!! Barua taamuuuuuuu. ah mapenzi ya zamani zamani. shule za boarding na kupeana barua. Siko nawe ila haka ka thread kamenikumbusha mbaaali sana. Still napenda mapenzi yako BINTI MWINYI
 
Yaani siku hizi kila mmoja ni mbabe dada mdogo. Enzi zetu nakumbuka unaisoma barua na kuirudia rudia hadi raha. Sijui kama itawezekana kuyarudisha yale mapenzi ya kizamani . Nakumbuka mkaka anajipinda kuandika barua ya I am sorry na kadi juu yake. Ilikua raha sana, siku hizi ni mwendo wa sms na maneno ya mkato.


barua zenyewe ndio zile za nilinywa maji nakuona kwenye glasi, mara nikila muogo nakuona kwenye mzizi, ooo sili kwa kwa ajili yako wakati anaandika huku ameshika chapati
 
barua zenyewe ndio zile za nilinywa maji nakuona kwenye glasi, mara nikila muogo nakuona kwenye mzizi, ooo sili kwa kwa ajili yako wakati anaandika huku ameshika chapati

ukila muhogo unamuona kwenye mzizi
 
Bado yapo. Ila siku hizi kilio hakisikiki, ni vibration tu.
 
Zamani ukitaka kuona chupi ya bint unaweka kioo chini ya dawati lake siku hiziii wala husumbuki hivyo nadhani nayo imepunguza ladha kama mpika pilau ikiiva anakuwa kashiba harafu anabaki kujazia tu.
Enzi hizo unapita kwa manzi kisha unarusha jiwe kwenye bati lao thank mabati yalikuwa ya ukweli sio karatasi Zamani siku hizi.
 
Back
Top Bottom