Hivi hawa watu wako wapi?

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Last edited by a moderator:
Mpole sana, Boflo na Blaine. Ni kitambo wamepotea tena kwa pamoja hivi. Anybody mwenye taarifa zao?
boflo alikuwepo jana katika jukwaa la kimataifa...
akasema hiki.. alikuwa quoted na kapalamsenga

By Boflo

haya ndio maelezo yake:-

Habari zenu marafiki ?

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 kwasasa nina mtoto mmoja wa kike ambae nilizaa na mshenzi mmoja miaka mitano iliyopita.
Huyo jamaa jina lake linaanziwa na K, alinikimbia toka kipindi cha mimba na alikuwa akiwaambia watu kuwa mimba sio yake,kwa kudra za mwenyezi Mungu nilijifungua salama na mtoto amefafana na baba yake kupita kiasi.
Toka kipindi cha mimba mpake leo hii mtoto ana miaka 5 sijawahi kuona hata senti ya huyo kaka kwa ajili ya malezi ya mtoto, huyo kaka ana kazi nzuri sana na analipwa mshahara mzuri tu kwa kweli.
Swali langu ni kwamba nikimpeleka mahakamani je ataamuriwa kunipa pesa za mtoto? Je pesa za nyuma na hizo ataambiwa anilipe? Je ni kiasi gani kwa mwaka anaweza kuamuriwa anipe. Mshahara wake kwa mwezi sio chini ya milioni 3



Mpole sana alionekana hapa 25.6.2014!

Blaine ndo haonekani sana,

hii post nimeibamba ikiwa imeulizwa na Kongosho kwamba alikuwa wapi..

dada alisahau kwamba, dunia duara


ila last seen yake ni 27 dec 2013..

attendance closed
 
Last edited by a moderator:
SILVIA BAHAME YUKO WAPI, ANAFANYA KAZI GANI NA AMEOWA NA NANI, NAMMISS SANA huyu miss Tanzania 2003
 

Asante sana MaliShambani kwa updates za hawa watu. Nilimiss posts za utata za Boflo ngoja nimfuatilie, naona amesusa MMU.

Kongosho, mwanao Blaine yu wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mie namuulizia Gaijin, nilikuwa napenda michango yake sijui kapotelea wapi huyu, au ndio aliamua kusepa kimya kimya.

Hata nami nimemmiss sana. Namkubali sana, she very intelligent, natamani angerudi.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe tuko wengi, michango yake ilikuwa poa sana. Halafu hata katika jukwaa la mapishi hakuwa nyuma ila nadhani wakati huo sijui kama lilikuwa limeshaanzishwa.

Hata nami nimemmiss sana. Namkubali sana, she very intelligent, natamani angerudi.
 
Boflo najua pa kumpata hata sa hiz ngoja nikuitie!
Ila Toto bishi hili sijui kama litakuja!
 
Last edited by a moderator:
I miss Blaine kwa kweli!
Sijui alipatwa na nini!
 
Last edited by a moderator:
Mpole sana atakuja tu saaaaasa hv!
Mradi umemwita sasa hv ataitika!
 
Last edited by a moderator:
I miss Blaine kwa kweli!
Sijui alipatwa na nini!

Yaani alipotea ghafla bin vuu. Nilikuwa napenda namna yake ya kutazama mambo; ingawa alikuwa somehow too nice.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha snowhite, liburute.
afu i really need u. Hebu ukuye chemba, nna hamu ya kudeka na paw nimemnunia
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Hahaha snowhite, liburute.
afu i really need u. Hebu ukuye chemba, nna hamu ya kudeka na paw nimemnunia
Hahahahahahaha ulijuaje naenda kuliburuta!
A minute nakuja!kuna sehemu navizia futari wameniambia nipeleke kikombe cha uji!
Nkuletee?
 
Last edited by a moderator:
Yaani alipotea ghafla bin vuu. Nilikuwa napenda namna yake ya kutazama mambo; ingawa alikuwa somehow too nice.

Ila alikuwa mkaaaaali sa zingine!
Mi nimemiss zile tshirt same
I'm His
Hes Mine!
Blaine bana!
 
Last edited by a moderator:
Hehehe mi staki uji. Hivi kwa nini prawns hazimo kwenye futari lakini? Ntaacha kufunga, ohoooo!

mawindo mema, ufanikiwe
Hahahahahahaha ulijuaje naenda kuliburuta!
A minute nakuja!kuna sehemu navizia futari wameniambia nipeleke kikombe cha uji!
Nkuletee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…