hapo nilipo-bold ndio penye utata...kwa umri wako wachumba sahihi wanakuona bwana mdogo sana na utawapotezea muda atleast ungekuwa na age kama 30yrs hivi...ningekushauri kwa age yako uanze kutafuta mademu/girlfriends wa kucheza nao na possibly ma-girlfriend wako wanapatikana form 3-chuo mwaka wa kwanza. ukitafuta wa mwaka wa 4. lazma atakusumbua tuu. pole sana.
Wee dini gani? Muombe Mungu Yeye ndiye Mpaji. Mke mwema mtu hupewa na BWANA, otherwise utaishia kupata manungayembe ya mjini na mwisho wa siku itakula kwako!
Miaka 25 ni kidogo? Kwanza hata hivyo mi staki wa chuo, mi nataka wa form 4 au form 6 tu.
matawi sio lazima kielimu, labda social environment.....
Mi ni muislam, namuomba sana mungu, ila naona siku zinaenda sana yaan hadi nashinda kufaham nikiitaji kuoa nitamuoa nani.
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.
Kaka mi nawataka hawa hawa wa kibongo, hao wa nje ya bongo sina huwezo wa kuwapata.Wewe umesoma na ni vizuri upate demu aliyeenda shule si msindikizaji tu maishani mwako. Kwa hili itabidi uvute subira usiende kichwa kichwa kwani mademu wengi wa kibongo ni vicheche (samahani lakini huo ndo ukweli). Kama vipi we chukua tu hata demu wa nchi nyingine ila kwa mademu wa kibongo kuwa mwangalifu sana maana wao hawana mapenzi ya kweli na heshima wamekosa. Kwa bongo unaweza pata demu lakini usije shangaa una share na mijibaba sita ama zaidi na wewe ukawa just a number tu miongoni mwao.
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.
I got you, ila mi nachukia sana kudanganya, ila hiyo ya Zero grazing itabidi nilifanyie kazi.First and foremost...... Kitu ambacho mabinti wengi wanachukia ni macho juu. Kumkodolea macho kila binti apitaye..
Try this.
1. Zero grazing. Hiyo tabia ya kutupa ndoana kwa kila mmoja, ni namna nzuri ya kuwafukuza.
2. Kuwa mkweli. Ukimdanganya... siku akigundua uwongo wako... God Almighty..!!! Utatamani dunia ipasuke.
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.
Kuwa muwazi na concentrate na mmoja unayefikiri anakufaa then usikate tamaa usimwambie kila msichana mzuri unayemwona kwenye loacality hiyo hiyo kuwa unampenda maana ikitokea wanaambiana unaweza usipate rafiki maana wataona hauko sirious kumbe wewe unajaribujaribu
Hata uwe na sura kama kiatu cha farasi,kama unajua kutumia mkwanja utawapata tuu,bt na dedicate wimbo uitwao single boy wa Ally Kiba na Lady Jay Dee,hawana mapenzi hawa sumaku ni pesa tuu huwavuta hata wawe wazuri kama pumzi ya asubuhi!