Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Halafu anajibu shiti balaa, majibu yake kiukweli sio ya kuridhisha lugha chafu na matusi juu mpaka kala BANPole ila huyu naye anajitahidi kuigiza your commenting. Anakuwa wa kwanza halafu anajibu short kama wewe. Mimi ndo maana sina avatar hivyo siyo rahisi kuniibia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha magumu sana mpaka watu wanafikia kubuni hizi mambo
Kutukana sio suluhisho.Walishanitumia nilizifuta hapo. Hapo ila wakinitumia tena ni wanakula matusi ya nguoni
Umeharibu Avatar yako🙂!! Acha ileile tu🙂Yeah wameiba sio undumilakuwili na nilishatolea ufafanuzi kwenye ile thread yangu... Mimi siajambo aisee
Kwan mwenye pesa harogwi?Mi siamini,,,ni mambo ya kusadidika tu,zamani niliamin siku hizi hapanaa na shida zipo tu,mfano manji ana pesa lakin kapata shida utasema karogwa
Tatizo gani mungu asiloweza mkuu?acheni utapeli bhanaaa yesu anatoshaaa.Hujapatwa na matatizo wewe.
Hata mimi pia walinituma ila niliignoreSana sana wanatumiaga namba za voda...
Kumbe tupo wengi lolKuna wale wengine wanakutumia ile nafas ya jeshi uliyoomba imepatikana
Wanakera kweli
Siku hiz wanaagiza na mchele kabisa mkuuMsaada kwwnye tuta, hivi wakiagiza kuku au mbuzi, wakishachinjwa nyama inakwenda wapi au inakua mboga ya mtaalam na family yake
sawa mkuu..ila ile kuna watu wameikwapua ndio maana nimeweka hii nijitofautishe nao kwa maana wanavyofanya watu wanazani na zile ni ID zangu kumbe sioUmeharibu Avatar yako🙂!! Acha ileile tu🙂
Bado wanaelekea kwwnye mkaa na chumvi. Hivi hao kuku hawamkinai mtaalam, yeye kila siku anakula kuku tuu, wawe wanaagiza na samakiSiku hiz wanaagiza na mchele kabisa mkuu