Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

Ha ha nishapata sms kama hiyo nikafuta fasta muda huo huo
 
Mm jana nimepata msg ya mganga kwny no ya voda ananiambia mambo ya pete ya bahati sijui kumtuliza mpenzi nikamwambia mimi hata mpenzi sina
Hahahahaha akajibu sasa?
 
Mi siamini,,,ni mambo ya kusadidika tu,zamani niliamin siku hizi hapanaa na shida zipo tu,mfano manji ana pesa lakin kapata shida utasema karogwa
 
Kwahyo wewe ukipatwa na matatizo solution yako ni kwa waganga na wachawi.?
 
Kuna wale wengine wanakutumia ile nafas ya jeshi uliyoomba imepatikana
Wanakera kweli
SASA NDUGU ILE NAFASI ULIYONIOMBA YA KIJANA WETU KUJIUNGA NA JESHI IMEPATIKANA TUWASILIANE LEO MAPEMA KAMA BADO UNAHITAJI


Hawa ndo wengi... matapeli kabisa
 
Yeah wameiba sio undumilakuwili na nilishatolea ufafanuzi kwenye ile thread yangu... Mimi siajambo aisee
Pole ila huyu naye anajitahidi kuigiza your commenting. Anakuwa wa kwanza halafu anajibu short kama wewe. Mimi ndo maana sina avatar hivyo siyo rahisi kuniibia.
 
Nahisi wanabahatisha tu namba.
Binafsi huwa sihangaiki kuwajibu chochote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…