Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,003
- 72,296
umeibiwa avatar yako au ndo ndumila kuwili? Hujambo lakini?Kweli aisee, halafu wengi wao matapeli
Mkuu mm mwenyewe kwenye no yangu ya Voda wanapenda sana kunitumia msg kama hiziMm jana nimepata msg ya mganga kwny no ya voda ananiambia mambo ya pete ya bahati sijui kumtuliza mpenzi nikamwambia mimi hata mpenzi sina
Basi watakuwa wafanyakazi wa voda.Sana sana wanatumiaga namba za voda...
Yeah wameiba sio undumilakuwili na nilishatolea ufafanuzi kwenye ile thread yangu... Mimi siajambo aiseeumeibiwa avatar yako au ndo ndumila kuwili? Hujambo lakini?
Haaa matapeli hao na unaweza kuta ni watu unawajuaView attachment 580801 kuna mwingine nae tena alinitumia mfano wa huo hapo ,,nikamtukana alinitukana hiyo akaniambia nimtumie majina yangu matatu kama hakuna uchawi maana nilimuambia kuwa hakuna uchawi ,,nikamuambia kama we mchawi sijui mganga si uroge tu mpaka majina yangu we si mchawi bana roga tu,akaniambia nitakuja nikubake SAA sita mchana nikamuambia poa karibu aisee,,mpaka Leo sijaona mtu wala non nikamkubusha mbona hajaja hahaa hajanijibu mpaka Leo,,msiamin haya mambo aise
Pole na kazi mkuu naona umerudiKweli aisee, halafu wengi wao matapeli

Kuna jamaa job hapa alipigwa laki 3 na hao wajeda haaaaKuna wale wengine wanakutumia ile nafas ya jeshi uliyoomba imepatikana
Wanakera kweli
Hata mimi nilipata kama hiyo nikaona upuzi mtupu.Kuna wale wengine wanakutumia ile nafas ya jeshi uliyoomba imepatikana
Wanakera kweli