Hivi hawa wanaijua JF kweli

Hivi hawa wanaijua JF kweli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412075558639.jpg
 
Mshana Jr

Aaaahhhh hata muda hawana wanachowaza watoto wao watakula nini ,watasomaje na mambo mengine yenye manufaa kwao

Jf n kwetu tu
 
Kazi hii ngumu sana nilipitia mapito hayo hapo awali,kiukweli huwezi jua ulimwengu ukoje kuhusu maswaala ya kiteknolojia,hapo ni kumi na mbili asubuhi kumi na mbili au moja usiku kurudi nyumbani tena ukiwa hoi bin taabani
mshana jr haya maisha yaone hivi hivi aisee ni shidaaa
 
Last edited by a moderator:
mshana jr hapo mawazo yao yako kwa watoto wao na familia zao zitaishije na zitasomaje. Anaamkia hapo saa kumi na mbili asubuhi na giza ndio linamuondoa hapo hana mapumziko wala hana shift. Mitandao kwake yeye anaisikia kwenye redio wala hana habari nayo
Ni masiaha magumu sana kwa kweli na ukiifanya hii kazi kwa kweli ni Mungu tuu anajalia maana afya zao ziko hatarini sana jua lao na vumbi la upasuaji kokote zile na kujigonga na mawe yale ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna wengine pia wapo kwenye ofisi nzuri kabisa na hawaijui JF hata kidogo. Binafsi nimefanya uchunguzi. Sio kila ambaye yupo pazuri basi anajua mambo kama haya na sio kila ambaye yupo pabaya hajui mambo haya.
 
Mama anajituma huyo kwa hali na mali lakini utasikia wanasema kuna watu hawapendi kujituma
 
Kuna wengine pia wapo kwenye ofisi nzuri kabisa na hawaijui JF hata kidogo. Binafsi nimefanya uchunguzi. Sio kila ambaye yupo pazuri basi anajua mambo kama haya na sio kila ambaye yupo pabaya hajui mambo haya.
SaaMbovu hukunielewa nimemaanisha nini hebu naomba pitia post ya Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom