hii ni faida ya kuwa na raia wajinga
CCM inatumia ujinga walionao baadhi ya wtz kulinda maslahi yake
Wakuu mi bado siwalaumu hawa manduya kwa sababu mbili kuuMgambo wakiimba wimbo maalum kwa kilugha wenye ujumbe wa kukomesha maandamo yanoyafanywa na Chama cha CHADEMA. hapa ni wilayani kwimba mwanza
Hebu waone, T-shirt za bure zinawaponza masikini Hivi wanajua maisha yanaendaje?? ni nani atakayewatoa vijana katika ujinga huu??
Unamaanisha nini?"wengi wape" ...ndio msemo tuliojizoelea WaTZ, je unaonaje kuwa sehemu ya hao wengi or to stand out from the crowd???
watanzania bado sana!
mgambo wakiimba wimbo maalum kwa kilugha wenye ujumbe wa kukomesha maandamo yanoyafanywa na chama cha chadema. Hapa ni wilayani kwimba mwanza
hebu waone, t-shirt za bure zinawaponza masikini hivi wanajua maisha yanaendaje?? Ni nani atakayewatoa vijana katika ujinga huu??
..hapa mwanza watu wamechoshwa na maandamano ya chadema effect yake ni kubwa kwa upande wa kiusalama hapa ila nyie watu hamjui tu uharibifu uliofanyika hapa kwetu mwanza wkt wa maandamano wengine hatukufurahishwa,si dhani kama hiyo picha inahusiana na mgambo sema ni uchonganishi tuu
Kweli...yaani ni kama wale 35,000 wa Rostam Igunga, nenda pale Igunga kawaangalie maisha yao yalivyo duni bila hata kuingia vijijini utakinaika na muonekano wao
Aliyesema 'Ujinga ni Mzigo' hakukosea.kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama anachotaka. si lazima cdm.