Hivi hawa Vijana wanajua wanafanya nini?

..hapa mwanza watu wamechoshwa na maandamano ya chadema effect yake ni kubwa kwa upande wa kiusalama hapa ila nyie watu hamjui tu uharibifu uliofanyika hapa kwetu mwanza wkt wa maandamano wengine hatukufurahishwa,si dhani kama hiyo picha inahusiana na mgambo sema ni uchonganishi tuu
Tafadhari mkuu effect kiusalama ?Unamaanisha nini?Picha kwa ajili ya uchonganishi!! Ili iweje?kwani hali hii ya vijana dhaifu kiakili kuvishwa vivazi vya NJANO nakuchezeshwa kama mazuzu c ndio hali halisi iliyopo huko kwa wanaowang'ang'ania mafisadi?au ulikua na maanisha nini mkuu?Kama bado upo huko njoo huku tuliokoe Taifa.
 
Hao vijana akili yao imeishia hapo. Wataishia kulalamika na kuomba vipande vya sigara. Vijana kama hawa ni disaster
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom