Hivi hawa the so called EWURA kazi yao ni nini?

Watanzania tunaibiwa lakini tumelala sana. Bei ya Petrol ya TShs 2231 / lita kwa DSM haina msingi wowote zaidi ya kujenga mazingira yanayoashiria Ufisadi wa Ewura kwa kushirikiana na makampuni ya Mafuta.

Wakati ule wa uhaba wa mafuta, dola ilikuwa bei juu dhidi shilingi, na bei ya nishati katika soko la Dunia ilipaa lakini bei ya petrol ilikuwa TShs 1950 / lita, leo shilingi imeimarika dhidi ya dola na hali ya soko la Dunia ni nzuri, petroli TShs 2231.

Suala hili ni vema lichunguzwe
 
I am wondering no body in EWURA is saying anything!
Hii ndo bei elekezi ya EWURA??
If so, ongezeko la takribani Tsh 300 kwa Lita, ni kubwa sana!
 
EWURA na Serikali yote kwa ujumla iko bize na chaguzi ndogo pamoja na msiba wa kanumba. Ngoja wamalize watarudi tu.
 
kazi ya ewura ni kusababisha bei kupanda kwa kukata makato yao,na kulipana posho tu,kama bei inatokana na soko la dunia basi inajulikana tu,bora kazi yao ingekua kuregulate dola
 
jamani ewura mpaka sasa ni mwez bei za mafuta ni zilezile hazija shuka,na ahadi zenu watanzania wanazisikiliza na kuzifatilia,tupeni majibu au na nishati ni siasa?

Like futher(govt) like son(ewura)
 
haki na usawa Ewura pia ni wasanii wanapenda kujilipa ili watatutue matatizo yao lakini hakuna ushauri wa wadau kwani nao wanafaidika kwa kuongeza bei maana asilimia inaongeza kiasi kadri pesa inapoongezeka
Angalia bei ya mafuta kama kweli wako makini Dar shs 1890 na Mz shs 1880
Dom shs 2000 Dar shs 2200 Je wananchi ni mazuzu kiasi hicho Acheni usanii.



kwa hapa mwanza, kama ulimaanisha "mz" ni mwanza, hatujanunua mafuta kwa hiyo bei ya kwenye red, na kama itatokea tukayanunua hivo basi ujue watu wengi siku hiyo watayanunua na kuyaoga na kuoshea magari yao. tuna muda mrefu sana bei ya mafuta haijapungua 2000/=
 
Back
Top Bottom