Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Nimekuwa najiuliza sana hili swali na sijafanikiwa kupata majibu.
Inawezekana jibu lipo lakini sijalijua tu.
Wanawake ambao wanajiuza wana majina yao,kama mahakaba,wauzaji,n.k.
Wanawake ambao wako huku uswazi na wanabadilisha wanaume sana nao wana majina yao,wanaitwa vichehe,malaya,n.k
Kinachonishangaza ni kuwa hawa wanawake hawajiuzii wenyewe au hawaf anyi umalaya wenyewe,kuna jinsia tofauti na yao ambayo wanakuwa wanafanya nayo ambayo ni kiume,tatizo sijapata kusikia jina kwa hawa wanaume ambao wanakwenda kununua miili ya hawa wanawake.
Sijasikia jina kwaajili ya wanaume ambao nao wanabadilisha sana wanawake, hii ni kwanini?
Jamani inawezekana labda wana majina ila mimi tu ndio sijui,ningeomba mnijulishe ili niweze kufahamu kwani naona majina ya upande mmoja tu.
Asanteni