Hivi hawa mafundi wapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hawa mafundi wapo?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Don Mangi, Sep 19, 2012.

 1. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wa miaka ya zamani nakumbuka tulikua na mafundi wafuatao;
  1.Fundi wa miavuli
  2.Fundi wa kurepair ndoo.
  3.Fundi wa masufuria.
  4.Fundi wa majiko ya mchina.
  Ongezea mafundi wengine unaohisi siku hizi ni adimu.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Bado wapo. Ila fundi saa wamegeuka kuwa fundi simu!
   
 3. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  aha Don Mangi miaka ya hamsini ya uhuru imekuja na maendeleo

  1. waliokuwa mafundi saa siku hizi ni mafundi simu
  2. mafundi radio na tv siku mafundi wa kompyuta
  3. wapiga debe webgi siku hizi ni waendesha bodaboda
  4. makondakta wengi ni madereva siku hizi.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mi nikadhani unazungumzia "maufundi !" kumbe mafundi !
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  wamebaki fundi makoroboi, makarai na makata mbuga!
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Fundi wa viraka. Enzi za kabla ya mitumba, hadi chupi iliwekwa kiraka.
   
 7. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hahaha. . .na mi najiuliza walienda lini kusoma?
   
 8. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hahaha. . .kiraka cha handkerchief. . .kiraka cha taulo.
   
 9. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Huyo fundi makatambuga nawakubali mpaka leo, nnazo za kwangu hazichoki yani. . .
   
 10. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kweli hii ni miaka hamsini ya uhuni. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha Mzee Mwaipopo, ana mashine moja ivi, inapitisha turubai mpaka leso hapo hapo.
   
 12. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hiyo mashine haiitwi SINGER kweli? Maana enzi hizo mashine hizo ndo zilikua kiboko, ukimkuta nayo mtu barazani ujue anapiga nayo kazi na anaingiza pesa balaa.
   
 13. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona wapo na wanapita wa kutengeneza mbuzi ya kukunia nazi
   
 14. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  fundi wa kurepair mbuzi hiyo poa...
   
 15. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha...You made my day Charminglady, eti fundi wa makatambuga...
   
 16. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ndo iyo hiyo. Mashine inaharibika desk tu lakini injini iko poa miaka nenda rudi...
   
 17. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,090
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa sijawai kumuona lakini juzi nimemuona fundi wa chupa za chai(Thermoses).Hiyo ni Mbagala.
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mafundi VIRAKA vya suruali wapo?..nimewamisi na kuna katrauza kangu nakapenda ila takoni kuna kishimo...lol
   
 19. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  dah nimewakumbuka na hawa aseee?? na kuna mafundi wa mipini ya visu, nao wana umuhimu mkubwa sana
   
 20. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  wapo, tafuta tafuta kwenye eneo lako, kuna mafundi wa kurepair ndala, kuzibadilisha kamba zinapiga mzigo upya.
   
Loading...