Hivi hatuna warembo zaidi ya hawa?

Hawa ni baadhi ya washiriki wa miss Kagera, vipi wako bomba?

group+2.JPG




Kama ndio hao mamiss basi Tz iwakilishwe na " nsenene"
 
nazidi kuamini kuwa totoz wa ukweli na mvuto wa hali ya juu wanapatikana Moshi tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom