Hivi hatuna warembo zaidi ya hawa?

Hivi hatuna warembo zaidi ya hawa?

mmmh kazi kweli kweli, maadili yanapotea u-mis mpaka uwe nusu uchi
 
kuna dada yako hapo nini,
housing za jana sio leo just wachina
 
Hawa ni baadhi ya washiriki wa miss Kagera, vipi wako bomba?


group+2.JPG
Watu wnataka kuona wasichana wako uchi!!! The law does not allow, what do you do? Anzisha Miss urembo, kigezo angalau utaone kama walivyo hapo juu. Kuhalalisha UMALAYA hadharani
 
Atleast wa pili kutoka kushoto..wengine hao nafikiri mabeki tatu wanajaribu bahati zao.
 
Ngoja aje achomoke mmoja hapo, akitua dar, anapigwa usopu mpaka akiba L wanampa ushindi!! Hapo kinachokosekana ni usopu usopu na kule kujiachia, akitanua mguu mmoja harafu akabinuka mbona sipati picha!
 
At least ni wabantu kwa pua zao....vinginevyo wale wanayamulenge waneingia kwenye ulingo
 
ina maana kuvaa nusu uchi ndo vigezo vya kushiriki u miss au?????

Kila mchezo unataratibu zake ndiyo maana mpira wa miguu huwezi kucheza ukiwa umevaa suti. Kwenye tasnia ya urembo uvaaji huo ni sehemu ya taratibu zake sio uhuni wala nini.
 
Hawa wako nusu uchi, zaidi ya hapo wapo wanaokiona ila kivyangu hapana.
 
Du mimi naona kisiwa cha Musila kwa mbali nasikia siku hizi kuna pantoon toka nyamukazi
 
Back
Top Bottom