Hivi hata watu walioapply diploma wanatumiwa code kama wale wa degree?

Hivi hata watu walioapply diploma wanatumiwa code kama wale wa degree?

Manreal

Member
Joined
Oct 1, 2020
Posts
9
Reaction score
0
Samahan ndugu zangu, hivi kama umeapply diploma halafu ukachaguliwa vyuo zaidi ya kimoja unatumiwa code ili uconfirm kimoja au inakuaje?

Na je kama kuna kuconfirm alafu ukashindwa kuna shida?
 
Ndio kama umechaguliwa multiple selection TCU watakutumia code, na kama utashindwa thibitisha confirmation yako chuo kipi unaenda soma baada ya deadline kupita utatemwa nje ya mfumo wa udahili hvyo hutopata chuo maana jina lako litashindwa kupelekwa TCU kama selected student.

Naamini nmeeleweka na nipo tayari kukosolewa.
 
Ndio kama umechaguliwa multiple selection TCU watakutumia code, na kama utashindwa thibitisha confirmation yako chuo kipi unaenda soma baada ya deadline kupita utatemwa nje ya mfumo wa udahili hvyo hutopata chuo maana jina lako litashindwa kupelekwa TCU kama selected student. Naamini nmeeleweka na nipo tayr kukosolewa.
Vipi kuhusu aliye apply certificate let say ame apply chuo kilicho chini ya NACTE na kingine TCU na vyote amechaguliwa.Mbona hajaona code yoyote ya kuconfirm?
 
Ndio kama umechaguliwa multiple selection TCU watakutumia code, na kama utashindwa thibitisha confirmation yako chuo kipi unaenda soma baada ya deadline kupita utatemwa nje ya mfumo wa udahili hvyo hutopata chuo maana jina lako litashindwa kupelekwa TCU kama selected student. Naamini nmeeleweka na nipo tayr kukosolewa.
Kwani hata wa diploma wanadahiliwa na TCU sio NACTE
 
Ndio mkuu wengine tulipata code mapema tu siku walivyotoa majibu..ila hizi code zinatuma mara mbili kwa njia ya text na email..ukiona hujatumiwa kwenye sms subiria kwenye email...
Screenshot_20201019-155007.jpg
 
Back
Top Bottom