VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,099
- 2,208
kwenye wimbo "Demokrasia ya Mapenzi" nasikia sauti ya Bichuka na kina Moshi William. Ni kweli Bichuka alishawahi kuitumikia Msondo?
, UMEZALIWA MWAKA Gani Wewe? HASSAN REHANI BITCHUKA Kaingia Nuta jazz Band Mwishoni Mwa Mwaka 1973-katumikia Msondo Mbaka Mwaka 1979 Mwishoni ndio kaenda Sikinde NGOMA ya Ukae- Baadaye Tena Mwaka 1990 Kaenda Msondo NGOMA Mbaka Mwaka 2000 Akarudi Zake Sikinde- Je una Swali Lingine Mkuu?kwenye wimbo "Demokrasia ya Mapenzi" nasikia sauti ya Bichuka na kina Moshi William. Ni kweli Bichuka alishawahi kuitumikia Msondo?
nilikuwa sijui kabisa mku. kuhusu umri ninakaribia 37 sasaDuuuuu
, UMEZALIWA MWAKA Gani Wewe? HASSAN REHANI BITCHUKA Kaingia Nuta jazz Band Mwishoni Mwa Mwaka 2973-katumikia Msondo Mbaka Mwaka 1979 Mwishoni ndio kaenda Sikinde NGOMA ya Ukae- Baadaye Tena Mwaka 1990 Kaenda Msondo NGOMA Mbaka Mwaka 2000 Akarudi Zake Sikinde- Je una Swali Lingine Mkuu?