Hivi hapa tuna raisi kweli?

collezione

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
352
178
JAMANI hapa tuna raisi kweli? Hiki ndicho kilichompeleka NewYOrk juzi.
Mimi binafsi naumia sana, ni bora tuongozwe na chizi kuliko huyu jamaa.
 
Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,891
1,190
Usimlaumu bila kufahamu wanachozungumza, labda anamuomba msaada wa kutununulia net za mbu!
 
upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
Muulize rais wako we upo dunia ya wapi inelekea unakaa mmbande ,nani akujulishe utakuwa lini au we ccm
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,282
17,036
Siku si nyingi nae atatoa singel yake.....kama Museveni....DALILI ZILIONEKANA MAPEMA TU

8E9U2321.JPG
 
Al Zagawi

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
2,232
1,126
JAMANI hapa tuna raisi kweli?. Hiki ndicho kilichompeleka NewYOrk juzi.
mimi binafsi naumia sana,. ni bora tuongozwe na chizi kuliko huyu jamaa. Pumabvuuuuu

1.Acha dharau na matusi na ujifunze kuwaheshimu watu(wakubwa na wadogo kwako) hata pale mnapotofautiana kimtazamo....tazama matunda ya jazba zako katika hiyo bold..kiswahili cha wapi hicho?

2. Sina hakika kama hiyo picha ni halisia au laa..lakini vyovyote itakavyokuwa huna haki wala hustahiki kutumia maneno uliyotumia kuelezea unaloliona kuwa ni kero kwako kuhusiana na utendaji wa mheshimiwa Rais. Pengine nikukumbushe kuwa hata hao unawaona kuwa wangefaa kukalia kiti cha enzi pale magogoni pia wanamheshimu huyu ambaye wewe unaonyesha dharau ya wazi kwake...hakika ya mambo ni kuwa lugha uliyotumia inanifanya nijiulize ikiwa wewe ni punguani au umzima maana kama ni kweli JF ni jukwaa kwa ajili ya great thinkers...basi wewe si miongoni mwao na kimantiki hapa si pahala pako..pengine niazime japo kwa dharura na si kwa dharau lugha ya spika Makinda..JF si sawa na kariakoo...wewe ungepaswa ufanye mambo hayo kariakoo...

3. Kuna tatizo la vijana wengi kama wewe kutawaliwa na hisia zaidi kuliko uhalisia..nitaeleza!!! Rais akiwa kama mwanaadamu wa kawaida kabisa ana hobbies na interests zake. kila mwenye kufahamu historia ya rais kikwete anafahamu kuwa ni mwana burudani mzuri tu..majuzi akiwa waziri alikuwa mlezi wa basketball association kwa muda mrefu na katika kipindi hicho basketball ilivuma hasa nchini...hakika yeye mwenyewe alicheza sana basketball wakati akisoma kibaha secondary na baadaye tanga school...ni kwenda kinyume na ubinadamu kufikiri kuwa kwa vile leo ni Rais basi amegeuka na kuwa malaika...isitoshe sisi si malaika vipi tutegemee Rais awe malaika???

4.kingine ni kuwa watu hamuelewi ima ni kwa makusudi au kwa upofu wa kutotaka kujua dunia ya leo inaenda vipi....kwa taarifa yako entertainment industry ni biashara kuwa sana duniani. nasi tukiwa sehemu ya dunia hiyo hatuwezi kuwepa hilo. hili wimbi la vijana kuacha shule(si jambo jema hata hivyo) na kuingia kwenye entertainment ni muendelezo wa kinachotokea katika nchi zilizoendelea(huko kwa akina 50 cent). nadhani JK anachojaribu kukifanya ni kuamsha mshawasha wa vijana kuingia sana bila kusita katika entertainment...hii kudhamini timu za michezo hasa soccer, kujenga studio ni katika harakati hizo..hakika ni kuwa with time hivi vitu vitatengeneza ajira nyingi sana hasa pale biashara ya piracy itakapokuwa imedhibitiwa..

kwa kumalizia, jaribu kusoma maoni yangu vizuri(in between the lines)..usikurupuke kwa jazba za ujana..nawasilisha!
 
Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,565
1,126
1.Acha dharau na matusi na ujifunze kuwaheshimu watu(wakubwa na wadogo kwako) hata pale mnapotofautiana kimtazamo....tazama matunda ya jazba zako katika hiyo bold..kiswahili cha wapi hicho?

2. Sina hakika kama hiyo picha ni halisia au laa..lakini vyovyote itakavyokuwa huna haki wala hustahiki kutumia maneno uliyotumia kuelezea unaloliona kuwa ni kero kwako kuhusiana na utendaji wa mheshimiwa Rais. Pengine nikukumbushe kuwa hata hao unawaona kuwa wangefaa kukalia kiti cha enzi pale magogoni pia wanamheshimu huyu ambaye wewe unaonyesha dharau ya wazi kwake...hakika ya mambo ni kuwa lugha uliyotumia inanifanya nijiulize ikiwa wewe ni punguani au umzima maana kama ni kweli JF ni jukwaa kwa ajili ya great thinkers...basi wewe si miongoni mwao na kimantiki hapa si pahala pako..pengine niazime japo kwa dharura na si kwa dharau lugha ya spika Makinda..JF si sawa na kariakoo...wewe ungepaswa ufanye mambo hayo kariakoo...3. Kuna tatizo la vijana wengi kama wewe kutawaliwa na hisia zaidi kuliko uhalisia..nitaeleza!!! Rais akiwa kama mwanaadamu wa kawaida kabisa ana hobbies na interests zake. kila mwenye kufahamu historia ya rais kikwete anafahamu kuwa ni mwana burudani mzuri tu..majuzi akiwa waziri alikuwa mlezi wa basketball association kwa muda mrefu na katika kipindi hicho basketball ilivuma hasa nchini...hakika yeye mwenyewe alicheza sana basketball wakati akisoma kibaha secondary na baadaye tanga school...ni kwenda kinyume na ubinadamu kufikiri kuwa kwa vile leo ni Rais basi amegeuka na kuwa malaika...isitoshe sisi si malaika vipi tutegemee Rais awe malaika???4.kingine ni kuwa watu hamuelewi ima ni kwa makusudi au kwa upofu wa kutotaka kujua dunia ya leo inaenda vipi....kwa taarifa yako entertainment industry ni biashara kuwa sana duniani. nasi tukiwa sehemu ya dunia hiyo hatuwezi kuwepa hilo. hili wimbi la vijana kuacha shule(si jambo jema hata hivyo) na kuingia kwenye entertainment ni muendelezo wa kinachotokea katika nchi zilizoendelea(huko kwa akina 50 cent). nadhani JK anachojaribu kukifanya ni kuamsha mshawasha wa vijana kuingia sana bila kusita katika entertainment...hii kudhamini timu za michezo hasa soccer, kujenga studio ni katika harakati hizo..hakika ni kuwa with time hivi vitu vitatengeneza ajira nyingi sana hasa pale biashara ya piracy itakapokuwa imedhibitiwa..

kwa kumalizia, jaribu kusoma maoni yangu vizuri(in between the lines)..usikurupuke kwa jazba za ujana..nawasilisha!

Ukisoma kwenye red sijajua unakataza nini na unataka nini kifanyike (watu wa kariakoo ni wapumbavu?).....Ninachokifahamu mimi ukiwa Raisi wa nchi kuna mambo mengine unazuiliwa kuyafanya hata kama unapenda kuyafanya ....Utakuwa umeambiwa ujibu hii thread na msemaji wa Ikulu wewe.. kama ungekuwa na busara signature yako isingekuwa hivyo.....by the way The helll was full and we are back! na neno Pumbavu ni la kiswahili kama ulikuwa hujui...!
siwezi kutetea safari za kijingajinga kisa jamaa moja anapenda entertainment ...
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,044
4,954
naona mnajiweka katika leval ya JK .... ! JK ni Rais.... ni wazi kwamba 50cent ndio ameomba kupiga picha na JK... sasa wewe ungekuwa JK na 50cent ametaka kupiga picha na wewe .. ungekataaa....????

hebu wekeni chuki binafsi pembeni ....
 
Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
256
JAMANI hapa tuna raisi kweli? Hiki ndicho kilichompeleka NewYOrk juzi.
Mimi binafsi naumia sana, ni bora tuongozwe na chizi kuliko huyu jamaa.
watanzania bwana??????? tatizo nini hapo??????? tunataka mtu anyeweza kuinteract na makundi yote, simple.... mbona tuna wabunge wetu wanarepu mpaka leo?????? na matusi kibao ...... pili huyo 50 cent wewe unamuona ni vipi vile?????
 
tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Kwani hajui anafanya mataarisho baada ya kumaliza kipindi chake anataka kuanzisha kundi la taarabu
 
Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,959
1,545
1.Acha dharau na matusi na ujifunze kuwaheshimu watu(wakubwa na wadogo kwako) hata pale mnapotofautiana kimtazamo....tazama matunda ya jazba zako katika hiyo bold..kiswahili cha wapi hicho?

2. Sina hakika kama hiyo picha ni halisia au laa..lakini vyovyote itakavyokuwa huna haki wala hustahiki kutumia maneno uliyotumia kuelezea unaloliona kuwa ni kero kwako kuhusiana na utendaji wa mheshimiwa Rais. Pengine nikukumbushe kuwa hata hao unawaona kuwa wangefaa kukalia kiti cha enzi pale magogoni pia wanamheshimu huyu ambaye wewe unaonyesha dharau ya wazi kwake...hakika ya mambo ni kuwa lugha uliyotumia inanifanya nijiulize ikiwa wewe ni punguani au umzima maana kama ni kweli JF ni jukwaa kwa ajili ya great thinkers...basi wewe si miongoni mwao na kimantiki hapa si pahala pako..pengine niazime japo kwa dharura na si kwa dharau lugha ya spika Makinda..JF si sawa na kariakoo...wewe ungepaswa ufanye mambo hayo kariakoo...

3. Kuna tatizo la vijana wengi kama wewe kutawaliwa na hisia zaidi kuliko uhalisia..nitaeleza!!! Rais akiwa kama mwanaadamu wa kawaida kabisa ana hobbies na interests zake. kila mwenye kufahamu historia ya rais kikwete anafahamu kuwa ni mwana burudani mzuri tu..majuzi akiwa waziri alikuwa mlezi wa basketball association kwa muda mrefu na katika kipindi hicho basketball ilivuma hasa nchini...hakika yeye mwenyewe alicheza sana basketball wakati akisoma kibaha secondary na baadaye tanga school...ni kwenda kinyume na ubinadamu kufikiri kuwa kwa vile leo ni Rais basi amegeuka na kuwa malaika...isitoshe sisi si malaika vipi tutegemee Rais awe malaika???

4.kingine ni kuwa watu hamuelewi ima ni kwa makusudi au kwa upofu wa kutotaka kujua dunia ya leo inaenda vipi....kwa taarifa yako entertainment industry ni biashara kuwa sana duniani. nasi tukiwa sehemu ya dunia hiyo hatuwezi kuwepa hilo. hili wimbi la vijana kuacha shule(si jambo jema hata hivyo) na kuingia kwenye entertainment ni muendelezo wa kinachotokea katika nchi zilizoendelea(huko kwa akina 50 cent). nadhani JK anachojaribu kukifanya ni kuamsha mshawasha wa vijana kuingia sana bila kusita katika entertainment...hii kudhamini timu za michezo hasa soccer, kujenga studio ni katika harakati hizo..hakika ni kuwa with time hivi vitu vitatengeneza ajira nyingi sana hasa pale biashara ya piracy itakapokuwa imedhibitiwa..

kwa kumalizia, jaribu kusoma maoni yangu vizuri(in between the lines)..usikurupuke kwa jazba za ujana..nawasilisha!

Mheshimiwa pole sana . Najua utanielewa nikisema tu, Siku hizi kila kitu kimechakachuliwa mpaka watoto nao wamechakachuliwa. Bidhaa zote ni fake hata watoto nao ni fake. Hata hivyo si kosa la watoto wa siku hizi kuwa walivyo bali ni wazazi wa siku hizi ndio bora wazazi.
Baya zaidi ni kuwa hawa wasiojua na hawana habari kuwa hawajui, inakuwa taabu sana kuwaelimisha na pengine watakuponda sana kwa maoni yako hapo juu.
Mimi nakubaliana na maoni yako,lakini nikutie moyo tu ukianza wewe kama hivi kutatokea mwingine mwenye mtizamo kama wako, basi tunaweza kurudisha jamii yetu ikawa na waungwana japo wachache.
Thanks.
 
mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
554
Sijaona tatizo JK kupiga picha na 50, ni binadamu interaction na watu kawaida tu na inatakiwa, ni kama alivomkaribisha na kupiga picha na mcheza kikapu wa marekani Ikulu Dar hata Hasheem pia. Kupiga picha na 50 inakuwa uchizi? How?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom