Hivi hapa JK alifikiri anapewa ngumi/ kelebu/ ganja/ kofi?!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
mbowe+vs+kikwete.jpg
 
Mbowe naye matata!!!....amekashika na bega kashkaji amekashusha balaa! kanaonekana kama kanasema "shkamo blaza"...hahahaa
 
Wenyewe wanacheeeka na kupeana mikono,,,,,lakin wafuas wao pale bungen na mitaan wanataka watwangane na polis wanawaua loool,POLITKS BANAAAA
<img src="http://3.bp.blogspot.com/_OCkIn4PCz5A/TUpOzMcsiwI/AAAAAAAAAQo/K2xESgq6PN0/s1600/mbowe+vs+kikwete.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
 
yule mapete wa mwembe_tea angekuwa hai ungemuuliza
juu ya hicho kigoda cha mkuu inawezekana ni mgongo wa ntu
hahahahaha babu naye yule mwisho wa shughuli
 
Back
Top Bottom