Hivi halotel wana smartphone za chini ya 100k? Nataka kuitumia kuunganisha internet na PC

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,373
Natumia sana halotel kwenye kivurushi vya internet sasa nataka kupata smartphone ya bei rahisi ili niwe naunganisha kwenye PC maana moderm zinazingua.

Au hata kama kuna simu tu isiyo ya halotel lakini naweza kuunganisha hotspot kwa PC iliyo chini ya 100k mwongozo tafadhali.

Nawasilisha.
 
Ila kuwa makini Band 2600 ya 4g Halotel sio band rahisi kuikuta kila simu, muulize kwanza mtu mwenye smart kitochi kinapandisha 4g ya Halotel?

Na kwanini usinunue 4g Router? Hizi za wifi? Used mpaka 30k ama 40k unapata.
Option nzuri pia, ngoja nitaiangalia pia mkuu. Shukrani.
 
Ila kuwa makini Band 2600 ya 4g Halotel sio band rahisi kuikuta kila simu, muulize kwanza mtu mwenye smart kitochi kinapandisha 4g ya Halotel?

Na kwanini usinunue 4g Router? Hizi za wifi? Used mpaka 30k ama 40k unapata.
Hivi hizi router kifurushi kikiisha ukataka kuunga kingine unafanyaje, unachomoa line unaweka kwenye cm kisha unajiunga then unarudisha tena line kwenye router?
 
Inategemea router Na router, zipo zenye ussd function, kifurushi kikiisha unaunga chengine bila line kutoka.
 
Ila kuwa makini Band 2600 ya 4g Halotel sio band rahisi kuikuta kila simu, muulize kwanza mtu mwenye smart kitochi kinapandisha 4g ya Halotel?

Na kwanini usinunue 4g Router? Hizi za wifi? Used mpaka 30k ama 40k unapata.
Nini faida ya band 2600? Zinapatikana halotel pekee au pia mitandao mingine wanayo? Huwa naangalia mechi online ila network ya tigo inazingua kweli.
 
Halotel pekee, band inavyo kuwa kubwa speed nayo inakuwa kubwa ila coverage inakuwa ndogo hasa kama upo mbali na mnara.

Ukiwa na 4g ya Voda ama Halotel kuangalia mpira online si kazi kubwa,
 
Router yenye band 2600 naipataje mkuu? Kwa amount hii ya 30k au 40k
 
Hakuna duka utakayoikuta hizo ni used, angalia kupatana, deals in Dar fb, zoom Tanzania etc.

Unachukua model Una Google online kuona band zake, click results za 4gltemall wanakuwa na specs za kila router.

Alternative muulize muuzaji kama inashika 4g ya Halotel, na kabla hujanunua utest.
 
Shukrani kiongozi
 
Kama ni hivyo hii siyo option nzuri...

Kuna kipindi nilinunua vodaphone smartphone ya 60k ilikuwa poa tu, inamaana halotel wao hawana kabisa? Tigo wana zile itel nazo nadhani ziko kwenye 60k..
Either nunua simu used yenye 4G au nunua Router. 50k unapata router used ya 4G nzuri kabisa
 
Back
Top Bottom