Hivi halotel ukikosea kuingiza vocha mara ngapi wanafungia laini

Hivi halotel ukikosea kuingiza vocha mara ngapi wanafungia laini

Davives

Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
86
Reaction score
106
Samahani wakuu hivi halotel ukikosea kuingiza vocha mara ngapi wanafungia laini?
 
Sidhani kama wanafungia, ukikosea mara3 wanazuia usiweke vocha kwa saa1, kisha wanaruhusu.
 
Unakoseaje mkuu, kama una smartphone tumia vocha master app au app yeyote ya kujazia vocha kwa camera
 
Back
Top Bottom