Hivi hakuna zuri lolote linaloendelea nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hakuna zuri lolote linaloendelea nchini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinepi_nepi, Jun 5, 2011.

 1. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi Tanzania hakuna habari yeyote njema au nzuri inayotokea. Kila post imejaa mabaya ya nchi. Kuanzia utawala mbovu na uchumi usiofaa. maisha magumu na uonevu. Wizi , ufisadi, rushwa na kutokuwajibika. Kamatakamata, mauaji, uvamizi wa rasilimali, kushindwa kwa viongozi nk.

  Je hakuna jema hata moja Tanzania?
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Si kazi yetu kushughulika na upuuzi wa kusifu yasiyokuwapo ! Ni kazi ya Tbc,HABARI LEO NA UHURU.
   
 3. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna, na kama yapo ni yale ya kununua soksi kwa tsh 10bilioni. Maendeleo ni madogo ukilinganisha na raslimali zilizotumika na zinazoibwa kila kukicha. Kama unayaona kichwa chako cha meeeh.
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu umenena. Haya ndio mazoea yetu wa TZ. Kulaumu tu, utafikiri hakuna jema lolote. Kila thread humu ni lawama tu. Tubadilike jamani. Tumechoka kusikia mabaya tu wakati na mazuri yapo tena mengi tu. Chapa kazi kwa bidii, mazuri utayaona. Tafakari chukua hatua.
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Yataje ww
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,661
  Trophy Points: 280
  Mazuri yapo mengi tu,kama kupanda kwa gharama za maisha,ongezeko la umasikini,mauaji ya raia wasio na hatia,kupewa ahadi hewa,kujivua gamba lisilo vuka, kulindana,kupeana madaraka,kunyan'ganya ardhi kwa wazawa na kuwapa wageni nk. yote hayo mazuri tu sijui una swali lingine?
   
 7. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mi mgeni sema naona foleni kubwa kutokana na ufinyu wa barabara na maendele...kidumu chama:majani7:
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  aaaha kama vile matundu 4 milion ngapi zileee.......he af safari za duniani kibaaao,huku hakuna walim,zahanati shule za kata ni upupu mtupu watu wanauwawa,yani nji hii,30% nafuu af %70 uharo tuuu,haina hata haja ya kufikiria hayo mazuri madogo sana haaa! eti tunaletewa bajaj sisi kina mama tuwahishwe leba loool kwa miundombinu ipi? ma 4wheel yanagoma iwe bajaza! wizi mtupu,kwanza ni tenda za magamba kukwiba .fikra za mwenyekiti wa magamba ZIDUMUUUUUUUUUU
   
 9. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo hujaweka ajali za barabarani zinazochinja watu kila kukicha
   
 10. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,355
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Aisee mazuri yapo mengi sana, kufungwa kwa Simba, kufungwa kwa Taifa Stars, mechi zetu hazina ufundi wa hali ya juu mpaka ufisadi kwenye soka!
   
 11. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mazuri mengi mno...epa, majengo pacha, richmond, dowans, tanesco, kujivua magamba, noti aina mbili,symbion power, mradi wa vitambulisho, migodi ni ya wageni, petroli kushuka bei, vyakula vimekuwa rahisi, sukari kupangwa bei toka mjengoni, magari ya mwendo kasi yanakuja, mji mpya kigamboni unakuja, mambo yanakuja vuteni subira tu...
   
 12. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  binafsi sijaona zuri lolote hata moja.
   
 13. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mazuri yako wapi yakuongelea???, we kama unayaona utakuwa unashirikiana na Wana-Magamba.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Mazuri mbona mengi tu, tuna migodi ya madini, foleni kubwa kwenye barabara zetu hii ni dalili ya maisha bora, kila kata kuna secondary, kila jimbo limetengewa pesa za mfuko wa jimbo na mengi kedekede.
   
 15. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  mi nadhani hii thread ndiyo ingeelezea hayo mazuri,we mwenyewe umeyakosa hayo mazuri mpaka umeamua kuuliza
  kizuri cha chiuza kibaya cha jitembeza na hata siku moja baba hajitambulishi ndani ya familia ila anatambulishwa na
  kile anachokifanya
   
 16. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Mabaya ni mengi kuliko mazuri kwa hiyo jibu ni kuwa hakuna mazuri!
   
 17. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ulichosema ni kweli...yan hili limekuwa jamvi la malalamiko....
   
 18. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tanzania yetu mazuri yapo ila mabaya yefunika mazuri yetu so inabidi tujadili hayo mabaya yapatiwe ufumbuzi.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Lipi sasa liweke hapa tulione mkuu...
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuumiza kichwa kufikilia mazuri maana kama yapo ni machache mno...
   
Loading...