donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
- Thread starter
- #21
Hapo sahihi mkuuHii itabidi kampuni wenyewe ndio wa develop, na kuwe na encryption ya maana, sababu watu wanaweza kuiba vocha hata kabla haijakwanguliwa.
Hapo sahihi mkuuHii itabidi kampuni wenyewe ndio wa develop, na kuwe na encryption ya maana, sababu watu wanaweza kuiba vocha hata kabla haijakwanguliwa.
Wakuu bado wanaweka vocha kuna bro huwa namuhurumia yaani yeye eti bado anakwangua vochaSalam wakuu,
Hivi kwa nyie wenzetu developers, hakuna uwezekano wa kudevelop app ambayo vocha badala ya kukwangua una scan barcode inaingia fasta.
Ssa bar code ile si ipo visible. Watu si wata scan bar code na kufanya vocha ziwe useless. Vocha kuanzia zitoke from provider mpka zifike kwa mtumiaji zinapitia mikono mingi. Hapo kati kati watu watascan hzo code na watu watauziwa vocha zilizotumikaWizi kivipi mkuu?