Hivi hakuna uwezekano wa kudevelop app ambayo vocha badala ya kukwangua una scan barcode inaingia?

Salam wakuu,

Hivi kwa nyie wenzetu developers, hakuna uwezekano wa kudevelop app ambayo vocha badala ya kukwangua una scan barcode inaingia fasta.
Wakuu bado wanaweka vocha kuna bro huwa namuhurumia yaani yeye eti bado anakwangua vocha
 
Wizi kivipi mkuu?
Ssa bar code ile si ipo visible. Watu si wata scan bar code na kufanya vocha ziwe useless. Vocha kuanzia zitoke from provider mpka zifike kwa mtumiaji zinapitia mikono mingi. Hapo kati kati watu watascan hzo code na watu watauziwa vocha zilizotumika
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom