Hujui kama majority middle class people wanapenda drama ili mradi maisha yanaenda?Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine wote wanashabikia kitendo alichotendewa mchungaji Masanja.
Leo nawaambia kitu, wewe mwanamume unayeshabikia mke wa mwanamune mwenzako kulalwa na mwanamume mwingine ni mpumbavu uliyepitiliza, huna sifa za mwanamume. Vijimaneno vya kijinga kama hivi ndivyo huwatofautisha wanawake na wanaume. Kiasili wanawake hushabikia sana maneno ya hovyo hivi, kwao ni ubuyu, lakini kwa wanaume wa kweli this is disgusting, bad news!!
Unawezaje kusimama mbele ya wanaume wenzako kusema "bora walivyomgongea mke wake? " Unasahau kuwa na wewe una mke? Haya maneno yanafit kwenye saluni za wanawake, ndio hulka yao tena kwao si kosa hata kidogo. Wanawake wameumbwa kuoneana wivu kwenye mapenzi, sio wanaume!! Kosa la Masanja hasa ni lipi? Yaani unamhukumu mwa "KOSA LA KUMPENDA VILIVYO" mkewe?
Kwa mwanamke akiona mwenzake amependwa kuliko anavyopendwa yeye ni dhahiri hili litakuwa baya kwake, ataona chuki na wivu na kumtakia mwenzake mabaya. Hiyo ndio sifa ya mwanamke. Sasa leo hii tuna wanaume wanaowaombea wenzao mabaya kwa sababu tu wanawapenda sana wake zao!!? Halafu ndio hawa mabaradhuli tuwaite wanaume?
Kuna ex mbunge mmoja huko Twitter anaonekana kuchekelea sana ujinga huu, basi yeye ndio amekuwa mjinga zaidi ya marehemu. Niwaambie kitu, Masanja ana mapungufu mengi sana, kuanzia uchungaji wake, komedi zake, mtazamo wake kisiasa nk, lakini katika yote habari za mapenzi kwa mkewe anafanya kwa kadri awezavyo, sio kwa ajili ya jumuiya bali kwa ajili yake na familia yake. Sio sawa kumhukumu kwa sababu ya WIVU WA KIKE, eti alikuwa anajidai anampenda sana mkewe, ulitaka akupende wewe? Kwa nini tunataka kila mtu aishi kama panyaroad na familia yake kama tulivyo sisi? Yaani kweli wanaume tumefikia steji ya umbea kuliko hata wanawake?
JIWE GIZANI: Wewe unayemtukana Masanja halafu umeoa mke ambaye hukumkuta na bikra yake, unafahamu kwamba ULIGONGEWA na wahuni!!?
Kumbe unafurahia ushenzi huu kwa kujua kabisa kwamba mkeo naye anachapwa vilivyo huko kitaa, hivyo unajifariji kwamba NGOMA DROO!!!
Hebu ache ujinga bana. Kuweni wanaume. Onyesheni hasira zeny juu ya marehemu.
Samahani Mkuu uliyemtaja hapa ni GENTAMICIME aliyeanzisha hii ID ili Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kimvuto na Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na Mimi ni ( naitwa ) GENTAMYCINE niliyejiunga rasmi hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na mwenye Utajiri wa Kutukuka wa 'Followers' 117+ hivi.Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine wote wanashabikia kitendo alichotendewa mchungaji Masanja.
Leo nawaambia kitu, wewe mwanamume unayeshabikia mke wa mwanamune mwenzako kulalwa na mwanamume mwingine ni mpumbavu uliyepitiliza, huna sifa za mwanamume. Vijimaneno vya kijinga kama hivi ndivyo huwatofautisha wanawake na wanaume. Kiasili wanawake hushabikia sana maneno ya hovyo hivi, kwao ni ubuyu, lakini kwa wanaume wa kweli this is disgusting, bad news!!
Unawezaje kusimama mbele ya wanaume wenzako kusema "bora walivyomgongea mke wake? " Unasahau kuwa na wewe una mke? Haya maneno yanafit kwenye saluni za wanawake, ndio hulka yao tena kwao si kosa hata kidogo. Wanawake wameumbwa kuoneana wivu kwenye mapenzi, sio wanaume!! Kosa la Masanja hasa ni lipi? Yaani unamhukumu mwa "KOSA LA KUMPENDA VILIVYO" mkewe?
Kwa mwanamke akiona mwenzake amependwa kuliko anavyopendwa yeye ni dhahiri hili litakuwa baya kwake, ataona chuki na wivu na kumtakia mwenzake mabaya. Hiyo ndio sifa ya mwanamke. Sasa leo hii tuna wanaume wanaowaombea wenzao mabaya kwa sababu tu wanawapenda sana wake zao!!? Halafu ndio hawa mabaradhuli tuwaite wanaume?
Kuna ex mbunge mmoja huko Twitter anaonekana kuchekelea sana ujinga huu, basi yeye ndio amekuwa mjinga zaidi ya marehemu. Niwaambie kitu, Masanja ana mapungufu mengi sana, kuanzia uchungaji wake, komedi zake, mtazamo wake kisiasa nk, lakini katika yote habari za mapenzi kwa mkewe anafanya kwa kadri awezavyo, sio kwa ajili ya jumuiya bali kwa ajili yake na familia yake. Sio sawa kumhukumu kwa sababu ya WIVU WA KIKE, eti alikuwa anajidai anampenda sana mkewe, ulitaka akupende wewe? Kwa nini tunataka kila mtu aishi kama panyaroad na familia yake kama tulivyo sisi? Yaani kweli wanaume tumefikia steji ya umbea kuliko hata wanawake?
JIWE GIZANI: Wewe unayemtukana Masanja halafu umeoa mke ambaye hukumkuta na bikra yake, unafahamu kwamba ULIGONGEWA na wahuni!!?
Kumbe unafurahia ushenzi huu kwa kujua kabisa kwamba mkeo naye anachapwa vilivyo huko kitaa, hivyo unajifariji kwamba NGOMA DROO!!!
Hebu ache ujinga bana. Kuweni wanaume. Onyesheni hasira zeny juu ya marehemu.
Kuna funzo hapaHuyo mke wale watu wasingemjua kabisa ishu ni Yale masifa yake huko mitandaoni kama yeye ndo wa kwanza kuoa.Nasemaja bado mc peppers nae mkewe atapigwa tu.
Noted with thanks mkuuSamahani Mkuu uliyemtaja hapa ni GENTAMICIME aliyeanzisha hii ID ili Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kimvuto na Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na Mimi ni ( naitwa ) GENTAMYCINE niliyejiunga rasmi hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na mwenye Utajiri wa Kutukuka wa 'Followers' 117+ hivi.
Unafurahia nini kwa mfano? Kwani aliwahi kukuchapia mkeo kiasi kwamba unaona umelipiwa kisasi? Hizi ni tabia za kimaskini, yaani tajiri akipatwa majanga maskini wajinga hufurahi kwamba tuwe ngoma droo.Tatizo sio kitendo cha kuchapiwa ila tatizo ni nani aliechapiwa, na hapo ndio furaha ya watu ilipo.
Sio sawa kwa mwanamume kuwa na mtazamo huu. Tuna mengi ya kufikiri kuliko kushinda kwenye social media kutafuta udakuHuyo mke wale watu wasingemjua kabisa ishu ni Yale masifa yake huko mitandaoni kama yeye ndo wa kwanza kuoa.Nasemaja bado mc peppers nae mkewe atapigwa tu.