Hivi gharama zilizotumika kuchora mawe nchi nzima. Je, hizo pesa alipata wapi?

Hivi gharama zilizotumika kuchora mawe nchi nzima. Je, hizo pesa alipata wapi?

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,468
Reaction score
7,733
Yule jamaa aliyechora mawe nchi nzima , zile pesa alizipata wapi ?.
 
😹😹😹 Raisi wa Mawe bado ni Mwigulu au tunaye Mwingine ?
 
Mwigulu ameanza hapo kanda ya kati maana mawe huwa yanapata tabu
 
Back
Top Bottom