Hivi familia kama hii inachuma na kuchuna mabilioni mangapi ya watanganyika kama posho, mishahara, retirement benefits etcetc

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
1. Baba Rais mstaafu na trip za Western Countries kibao a month
2. Mama mbunge na mafao ya wenza
3. Mtoto waziri
4. Wajukuu ma CEO

All combined wizi na biashara haramu za wizi wanazofanya zisizolipa kodi
 
IMG-20260130-WA0040.jpg
 
regime zoote za kidictator duniani hufwata the sama pattern mwishoni hupora hazina na kukimbia na dhahabu, fuatilia utaona kuanzia assad aliondoka na kila kitu, gadafi walimuawahi wakazuia over 200 billion usd, , hata maduro wamefreeze account yake uswisi, wote huishia hivyo.

kama ni kweli wamefanya looting ya hazina basi wamefikia mwishoni ...
 
1. Baba Rais mstaafu na trip za Western Countries kibao a month
2. Mama mbunge na mafao ya wenza
3. Mtoto waziri
4. Wajukuu ma CEO

All combined wizi na biashara haramu za wizi wanazofanya zisizolipa kodi
Baba analipwa 80% ya mshahara wa Samia 😢😢
 
1. Baba Rais mstaafu na trip za Western Countries kibao a month
2. Mama mbunge na mafao ya wenza
3. Mtoto waziri
4. Wajukuu ma CEO

All combined wizi na biashara haramu za wizi wanazofanya zisizolipa kodi
Ndio maana wanapambana huyu kilembee asitoke madarakani
 
Back
Top Bottom