Na rejao je?Zamani alikuwa Katavi, labda kamwachia majukumu, sio mbaya aendelee kukaribisha wageni!
Zamani alikuwa Katavi, labda kamwachia majukumu, sio mbaya aendelee kukaribisha wageni!
Hata mie nakushukuru katavi ulinipokea siku ile!Jamaa ndio kiongozi wetu kule, mimi ni mfagizi na mpokea mizigo ya wageni.
Nawapongeza wote wanaojikuwa jukwaa lile kutupokea maana huwa kuna raha yake jaman lol!Naombeni kujuzwa suala hili, sio siri hakuna thread ya kwenye jukwaa la utambulisho ikakosa hii ID. Namshukuru sana kwa ukarimu wake maana hata na mimi alinikaribisha
Niko mzima rejao, hope uko poa pia... Rejao labda anakaribisha wageni jukwaa la siasa!..lolNa rejao je?
Za masiku SL..hope w.end yako uliimaliza salama..
Lol, umesahau na vinywaji huwa unawapatia wageni.. Hongera bana kazi nzuri sana!Jamaa ndio kiongozi wetu kule, mimi ni mfagizi na mpokea mizigo ya wageni.
Hahahaaa hata wewe Katavi umenigeuka aiseee???Jamaa ndio kiongozi wetu kule, mimi ni mfagizi na mpokea mizigo ya wageni.
Kweli Kongosho unajua kila sector huwa ina mkuu wa kitengo so Katavi ni Mkuu wa Mapokezikama erick ni reception, basi Katavi ni senior reception.
Ni mtoto wake wa nje....hahahaahaaaaaNawapongeza wote wanaojikuwa jukwaa lile kutupokea maana huwa kuna raha yake jaman lol!
Nawakumbuka sana walionipokea siku ile,IGWE,Leornad Robert,kipipi,evarm,pakajimmy,vin dieseal,mytz,baba erick sijui huyu ni mwanae(Erickb52)arabianfalcon,faisi buku na wengine kibao,ki ukweli nilifurahia sana nawashukuru mnooo lol!
Kweli Kongosho unajua kila sector huwa ina mkuu wa kitengo so Katavi ni Mkuu wa Mapokezi
Hahahah hahahaha!Ni mtoto wake wa nje....hahahaahaaaaa
Bado nafasi ni yake mi huwa namsaidia mara chache ila kila nikimsaidia huwa nakutana na LIBENT so yeye anaona mi ndo mkuu kumbe mkuu mwenyewe yupo.alikuwa mkuu
naona umechukua fomu ya kugombea
nafasi
Halafu Bishanga analalamika umeMBLOCK kwenye PM mlegezee kidogo coz amekumiss sana...HahahaaaaHahahah hahahaha!
Haina mbaya,mtoto mtoto tu haijalishi ni wanje au wa ndani lol!
Na rejao je?
Rejao wewe na Katavi ndo wanajamvi....hasa jukwaa la Mapokezi mi nasingiziwa tu
Dah!nilifanya hivyo kwa kuogopa mkwara wa Eliza wa T.maana nasikia ni mkorofi na kamkalia Bishanga rohon,Halafu Bishanga analalamika umeMBLOCK kwenye PM mlegezee kidogo coz amekumiss sana...Hahahaaaa