Hivi Erickb52 ni receiptionist wa JF au?

Naombeni kujuzwa suala hili, sio siri hakuna thread ya kwenye jukwaa la utambulisho ikakosa hii ID. Namshukuru sana kwa ukarimu wake maana hata na mimi alinikaribisha

Kaka ili kumwona mtu mahali lazma nawewe umo...so hata wewe kwenye lile jukwaa nakuona sana ukikaribisha wageni tena uliwaandalia na juice....hahahaaaaa Salamu zangu kwa Rejao na Katavi
 
Dah!nilifanya hivyo kwa kuogopa mkwara wa Eliza wa T.maana nasikia ni mkorofi na kamkalia Bishanga rohon,
Nimemshauri tuwasiliane kwa sms lol!
Hahahahaa tatizo Bishanga anaogopa kwa SMS atakamatwa coz Eliza huwa anatembelea SMS za Bishnga ndio maana Bishanga anapendelea kutumia PM za JF
 
Duh!yani na ujanja wote bishanga mpaka anashikiwa simu na Eliza!!!!
Itabidi tuwe tunaongea ana kwa ana maana naona Eliza ka mwamulia,wakati ule tulikuwa tunakesha PM eliza akastukia na kushusha bonge la mkwara nikahisi kaiba pasiwedi ya swaiba angu ndio nikamblock!!

Orait,mshauri akungue ID mpya na awe makin eliza asiijue hahahahhah!
 
Kaka ili kumwona mtu mahali lazma nawewe umo...so hata wewe kwenye lile jukwaa nakuona sana ukikaribisha wageni tena uliwaandalia na juice....hahahaaaaa Salamu zangu kwa Rejao na Katavi

Rejao na ule mpua wake unawatisha wageni anatakiwa akae getini
 
Duh!yani na ujanja wote bishanga mpaka anashikiwa simu na Eliza!!!!
Itabidi tuwe tunaongea ana kwa ana maana naona Eliza ka mwamulia,wakati ule tulikuwa tunakesha PM eliza akastukia na kushusha bonge la mkwara nikahisi kaiba pasiwedi ya swaiba angu ndio nikamblock!!

Orait,mshauri akungue ID mpya na awe makin eliza asiijue hahahahhah!
Hahaaa tena ntamwambia afungue ID yenye jina la kike ili kumpoteza kabisa Eliza. Akitumia MWANAASHA hope atakuwa kampoteza sana au we unaonaje
 
Wakubwa tunasemwa mwenzetu kashikwa pabaya, Bishanga kwa yule mwanamama hana sauti hata kidogo
 
Hahaaa tena ntamwambia afungue ID yenye jina la kike ili kumpoteza kabisa Eliza. Akitumia MWANAASHA hope atakuwa kampoteza sana au we unaonaje
Hii imekaa vizuri sana lol!ila sasa kwa makeke ya eliza bishanga hawezi ota kwa sauti na kutaja id mpya na pasiwedi!hahahaha!
 
Naombeni kujuzwa suala hili, sio siri hakuna thread ya kwenye jukwaa la utambulisho ikakosa hii ID. Namshukuru sana kwa ukarimu wake maana hata na mimi alinikaribisha

umepatwa na dhahama gani huo uso wako?
 
Msisahau mkongwe wa lile jukwaa Pakajimmy, siku hizi naona kapumzika!
 
Hii imekaa vizuri sana lol!ila sasa kwa makeke ya eliza bishanga hawezi ota kwa sauti na kutaja id mpya na pasiwedi!hahahaha!
Teh hivi hujajuaga kuna mijamaa mingine JF inaonekana ni shujaa sana lakini ikifika kwa wadada wao kila kitu KWISHINEI Teh nafikiri na yeye(BISHANGA) kwa Eliza ni the same
 
Usikatae dhamana mkuu..
Kama ni mimi nimepewa hii misifa ningeenda kukaa juu ya stul ndefu na taska malti baridiiii!

Hahahahaaaaa sawa mkuu ngoja nikashtue kandovu kabaridiiiii then ntarudi
 
Back
Top Bottom