Hivi duniani kuna starehe kama hii?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,422
Reaction score
17,164
Upo zako mahali, unakunywa pombe Kali na vichanganyo vya baridi, wakati huo nnje huko Kuna jua Kali sana linawaka πŸ”₯πŸ”₯

Wakati unakula vimiminika wanapita walimbwende wewe kazi Yako ni kuwapiga makofi ya πŸ‘

Oyaaa ndio maana CCM wanakuwa wabishi kutoka mana kama Mimi naenjoy hivi hao wakina sigwa boy inakuaje?? Ni sawa na kumtoa mwanaume anae πŸ’¦ kitawaka

 
Mshahara ukishaingia ndiyo tabia zako. Baada ya siku mbili hao mademu huwapati tena unaishia kupiga nyeto pale ofisini kwenye korido.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuajiriwa niliacha kazi 2016, tena ni baada ya kuona ninachowaza na kazi nnayofanya haviendani, nshaacha kazi 3, Mimi mshahara wangu nauhesabu sa 5 na dk 45 usku, hata kama ni buku ten fresh tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…