Hivi Dr. Primus Nkwera wa NACTE uko wapi?

E

Endiamasi

Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
53
Points
0
E

Endiamasi

Member
Joined Apr 7, 2013
53 0
Nakumbuka mwaka jana tuliitwa kwenye semina Morogoro kujadili mchakato wa kuhamisha vyuo vya Ualimu kusimamiwa na NACTE badala ya NECTA. Dr. Primus Nkwera Katibu Mtendaji wa NACTE alisimama kidete na kuwataka wakuu wa vyuo kuanza mchakato kabla ya mwezi Disemba mwaka jana. Nashangaa mwaka mwingine karibu unakwisha Dr. Nkwera sijamsikia tena akiongelea jambo hilo. Au ndiyo kusema mpango umekwama. Basi watoe tamko ili wadau waelewe kinachoendelea. Naomba kuwasilisha.
 
C

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
240
Points
250
C

clasi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
240 250
Well, labda niulize whether vyuo vya ualimu vinahama NECTA kwenda NACTE kuna tofauti yoyote? msaada please
 
E

Endiamasi

Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
53
Points
0
E

Endiamasi

Member
Joined Apr 7, 2013
53 0
Well, labda niulize whether vyuo vya ualimu vinahama NECTA kwenda NACTE kuna tofauti yoyote? msaada please
Tofauti ni hii NECTA National Examination Council of Tanzania. Hawa tunga mitihani, wanasimamia, kusahihisha na kutoa matokeo. NACTE National Council of Technical Education,hawa hatungi wala hawasahishi mitihani bali wao wanakagua tu ubora mitihani inayotungwa vyuo ni. Vyuo vinasimamia mitihani baada ya kuwa approved na NACTE, vinasahihisha na hatimaye kutoa matokeo vyenyewe.
 

Forum statistics

Threads 1,307,390
Members 502,393
Posts 31,610,957
Top