Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,919
Hawaendelei wapi Mkuu, mbona unaishi utafikiri wewe ni mgeni sana ndani ya taifa hili.Minimum entry kwa fani za afya ni C - Chem, C - Bio na D - Phys. Pont 8 kwa MD, DDD na Pharmacy.
Na
C - Chem, D - Bio na E - Phys. Point 6.
Sasa unamshauri aomba huoni kama anatupa pesa yake bure tu. Tena hizo 3 za 14 kuna wengne hawaendelei.
Jamaa yangu amesoma MD UDOM division 3 Points 13 !
Watu kibao mpaka Division 3 Points 17 wanasoma Bachelor wewe unaona haiwezekani.
Mimi nimesoma MUHAS, Sikupata Div 1 wala 2, nimesoma shule mbovu kuliko hapa TZ, Ihungo. Unaweza kushangaa !
Nchi za kiafrika ni nchi za ajabu, ukiwa legelege NDOTO ZAKO ZITAFIA NDANI, SURE !!