Mkuu tujifunze kupenda vya kwetuYani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.
Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu. Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.
Yani nashangaa ujinga mtupu umefanyika pale na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.
Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni upuuzi na matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Gharama ya kujenga lile daraja la pili zingetosha kabisa kutanua barabara ya ground na chenji ingebaki na muonekano ungekuwa bora. Kile kituko pale kiukweli nikiongoza nchi nitakuwa naona aibu kuwa nacho.Mkuu tujifunze kupenda vya kwetu
Kumbuka hatuna pesa za kutosha maana asilimia kubwa ya pesa za miradi zinaliwa na maccm
Ndio tunakubali siyo biological father and mother. Tunataka kujua the biological father of the president kwanzaKuna muda utafika mtaanza kupinga kuwa wazazi wenu sio biological father/mother. Ukizoea kupinga kila kitu unafika sehemu kwenye Jamii unaonekana MPUMBAVU tu.
Tayari umeshahama topic, unaelewa kinajadiliwa nini hapa?, Au umekurupuka usingizini!??Ndio tunakubali siyo biological father and mother. Tunataka kujua the biological father of the president kwanza
Hamna bana tunataka kujua biological father wa presda hili tujiridhishe.Tayari umeshahama topic, unaelewa kinajadiliwa nini hapa?, Au umekurupuka usingizini!??
una hata ka diploma ka civil engineering au unafuatisha mapigo ya moyo wako?Yani nashangaa ujinga mtupu umefanyika pale na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.
Anzisha thread watakuja wa kukupa majibu, hapa tunaongelea flyover ya Ubungo.Hamna bana tunataka kujua biological father wa presda hili tujiridhishe.
Sauh'waaa?
Hamna aa bana haiwezekani mgeni awaonee wazawa. Hamna banaaaaaAnzisha thread watakuja wa kukupa majibu, hapa tunaongelea flyover ya Ubungo.
Anafata mapigo yake ya moyo mkuuuna hata ka diploma ka civil engineering au unafuatisha mapigo ya moyo wako?
Sema kama unataka ukapige picha darajani tusikucheke.Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.
Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.
Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.
Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.
Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.
Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.
Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.
Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.
Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Mayanga construction kama kawaida au ?Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.
Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.
Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.
Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.
Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
STUPID. Jibu hoja yake sio ujinga huu. Mwisho utaomba akusugue!Hata ingejengwa hivyo unavyosema bado ungekuja kupinga tu, sijawahi kuona unasifu kitu chochote kilichofanywa na serikali iwe chenye faida kwa taifa au hasara ww utapinga tu.