Je, barabara ya juu (Mwenge - Bandarini) pale Ubungo interchangeina itwaje?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Barabara za chini zinaitwa barabara ya Morogoro, Sam Nujoma na Mandela.

Barabara za kati zinaitwa Kijazi Interchange.

Je, barabara ya juu (Mwenge - Bandarini) inaitwaje?

Wadau muhoji hili.

20220902_085855.jpg
 
Back
Top Bottom