Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu
Ngoja na mimi nikujibu kwa picha
Mnafiki. Wewe utakuwa kilaza hata hujui bilogia ni nini?Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu
Mbona hujauliza kama wabunge na Graduate anayeanza kazi BOT, Tanroads, TRA na wanaofanana nao kama wana thamani kuliko kada tajwa? Toka kale daktari anasifa yake, unataka kubadirisha leo?
Kwa ufupi madaktari wanastahili kulipwa zaidi ili tupate motisha kwa watoto kuzidi kusoma kozi za udaktari. La sivyo wakilipwa sawa na mwalimu, hakutakuwa na umuhimu wa watu kusoma miaka tano hadi sita ili awe daktari wakati ukisoma kozi ya miaka miwili mitatu tu unatoka kimaisha.
Mkuu umeongea machache lakini yana point kali. Naakushukuru kwa jibu. lakini mshahara usiwe wa kutisha. mie sikatai walipwe vizuri na wapewe usafiri / mkopo. Ni kweli kabisa kozi ya polisi ni miezi sita na hakuna kufeli wakati udaktari unasoma mpaka kichwa kinauma. kwa hilo nakushukuruMbona hujauliza kama wabunge na Graduate anayeanza kazi BOT, Tanroads, TRA na wanaofanana nao kama wana thamani kuliko kada tajwa? Toka kale daktari anasifa yake, unataka kubadirisha leo?
Kwa ufupi madaktari wanastahili kulipwa zaidi ili tupate motisha kwa watoto kuzidi kusoma kozi za udaktari. La sivyo wakilipwa sawa na mwalimu, hakutakuwa na umuhimu wa watu kusoma miaka tano hadi sita ili awe daktari wakati ukisoma kozi ya miaka miwili mitatu tu unatoka kimaisha.
Hapana. Daktari hana thamani. Wenye thamani ni wanasiasa kama Lusinde wanaolipwa mara kumi zaidi ya malipo ya madaktari. Tumeambiwa na Chikawe juzi kuwa wenye thamani ni wajumbe wa tume ya katiba kama Salim Salim ambao pamoja na kugharamia nyumba anayoishi kama waziri mkuu mstaafu, bado tunalazimishwa kumlipa posho ya pango. Orodha ni ndefu sana lakini madaktari hawamo kwenye orodha hiyo.Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara