Hivi COVID19 USA imeisha

Hivi COVID19 USA imeisha

Habari wakuu,
Pole na majukumu ya apa na pale nina maswali machache nayo jiuliza kuhusu huu ugonjwa uko U.S.A toka mauaji ya yule muafrika tunaona maandamano bila hatua zozote
1. Lock down imeishia wapi
2. Yale maandamano ayawezi kusababisha mlipuko zaidi
3. Au ni ugonjwa wa kutengeneza kwa maneno

Tafakari njema
Ongezea na mawazo yako
US kuna kitu walikuwa wanakitafuta wamekipata huko Kenya
Mazuzu haya ya Afrika wanajifanya wasomi Kila kitu wanaiga
 
Hakuna social distance, hakuna kunawa mikono hakuna lockdown... hakuna updates
 
Wakenya wanapata tabu sana, jana wameongezewa tena siku 30 za lockdown
Sio lockdown Ile ni Kenya Pekee ambapo ugonjwa unaambukiza usiku hivyo wameongeza siku 30 za kutotembea usiku.
Yaani kuna hatua nyingine unaona zinafanyika ili kuwafurahisha wahisani na kupata vihela ila Hazina maana kabisa
 
Sio lockdown Ile ni Kenya Pekee ambapo ugonjwa unaambukiza usiku hivyo wameongeza siku 30 za kutotembea usiku.
Yaani kuna hatua nyingine unaona zinafanyika ili kuwafurahisha wahisani na kupata vihela ila Hazina maana kabisa
Wamefungiwa pia kusafiri nje ya mkoa, hapo ndio balaa zaidi.
Ila inashangaza hiyo corona ya kuambukizwa usiku, bora wangeungana tu na mkuu wetu hapa maisha yasonge kama zamani.
 
Corona? What corona..??

Mimi toka mwanzo nilipinga kabisa lockdown.

Huo ugonjwa haukustahili kabisa kuwa ndio sababu ya ku shut down uchumi wa dunia.

Binafsi naanza kuamini pengine ilikuwa ni moja ya njama za kumuondoa Donald Trump madarakani.

Haiwezekani eti wiki mbili tu zilizopita tulikuwa tunatishwa kwamba sehemu zina open up too soon.

Nakumbuka Governor Brian Kemp walimsema sana alipoanza kuruhusu jimbo lake li open up kidogo kidogo.

CNN walikuwa mstari wa mbele sana ku promote hofu kwa watu.

Leo hii habari za COVID-19 hazipo tena CNN...

Hakika Rais Magufuli ni mwamba kwelikweli
Aisee kweli mkuu
 
Huo ndio uhalisia wenyewe... kama ingekuwa ni gonjwa hatari kama tuliyo karilishwa basi kwa kupitia hayo maandamano yanayo endelea USA tungeliona watu wengi sana wakiwa wana anguka na kufa wakati wakiwa katika maandamano
Wanatufanya mafala sana
 
Tunasubiri mwezi wa 8 (ilikuwa wiki baadaye mwezi na sasa ni miezi) tuanze kuokota maiti mitaani, kwa mujibu wa mama Bill Gate! Shenzi kabisa wanatia hofu watu ili wauze chanjo!
Nouma sana
 
Back
Top Bottom