Corona? What corona..??
Mimi toka mwanzo nilipinga kabisa lockdown.
Huo ugonjwa haukustahili kabisa kuwa ndio sababu ya ku shut down uchumi wa dunia.
Binafsi naanza kuamini pengine ilikuwa ni moja ya njama za kumuondoa Donald Trump madarakani.
Haiwezekani eti wiki mbili tu zilizopita tulikuwa tunatishwa kwamba sehemu zina open up too soon.
Nakumbuka Governor Brian Kemp walimsema sana alipoanza kuruhusu jimbo lake li open up kidogo kidogo.
CNN walikuwa mstari wa mbele sana ku promote hofu kwa watu.
Leo hii habari za COVID-19 hazipo tena CNN...
Hakika Rais Magufuli ni mwamba kwelikweli
