Hivi COVID19 USA imeisha

Hivi COVID19 USA imeisha

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,241
Habari wakuu,
Pole na majukumu ya hapa na pale nina maswali machache nayo jiuliza kuhusu huu ugonjwa uko U.S.A toka mauaji ya yule muafrika tunaona maandamano bila hatua zozote

1. Lock down imeishia wapi
2. Yale maandamano ayawezi kusababisha mlipuko zaidi
3. Au ni ugonjwa wa kutengeneza kwa maneno

Tafakari njema
Ongezea na mawazo yako
 
kweli mkuu walikuwa wanadai watu elfu 3000 kwa siku wameishia wapi wanatufanya sisi wajinga sana
Wanazingua sana,
Wakenya wanaofata mkumbo ndio wanazidi kuumia

Heko tz mambo yetu yanaenda vyema, hatuwezi kudanganywa kama watoto

Kufa watu 5000 per day, tena for every day for more than two months si kitu kidogo, lakini Kuna watu wameamini
 
Wanazingua sana,
Wakenya wanaofata mkumbo ndo wanazidi kuumia

Heko tz mambo yetu yanaenda vyema, hatuwezi kudanganywa km watoto

Kufa watu 5000 per day, tena for every day for more than two months si kitu kidogo, lkn Kuna watu wameamini
Kweli mkuu
 
Corona? What corona..??

Mimi toka mwanzo nilipinga kabisa lockdown.

Huo ugonjwa haukustahili kabisa kuwa ndio sababu ya ku shut down uchumi wa dunia.

Binafsi naanza kuamini pengine ilikuwa ni moja ya njama za kumuondoa Donald Trump madarakani.

Haiwezekani eti wiki mbili tu zilizopita tulikuwa tunatishwa kwamba sehemu zina open up too soon.

Nakumbuka Governor Brian Kemp walimsema sana alipoanza kuruhusu jimbo lake li open up kidogo kidogo.

CNN walikuwa mstari wa mbele sana ku promote hofu kwa watu.

Leo hii habari za COVID-19 hazipo tena CNN...

Hakika Rais Magufuli ni mwamba kwelikweli💪🏿💪🏿
 
Huu ugonjwa.. unakuzwa sana kwa sababu maalumu..

Nahisi hata vifo wanavyovitangaza wamevipata ni vifo hewa.. ama vya magonjwa mengine
Huo ndio uhalisia wenyewe... kama ingekuwa ni gonjwa hatari kama tuliyo karilishwa basi kwa kupitia hayo maandamano yanayo endelea USA tungeliona watu wengi sana wakiwa wana anguka na kufa wakati wakiwa katika maandamano
 
Wanazingua sana,
Wakenya wanaofata mkumbo ndo wanazidi kuumia

Heko tz mambo yetu yanaenda vyema, hatuwezi kudanganywa km watoto

Kufa watu 5000 per day, tena for every day for more than two months si kitu kidogo, lkn Kuna watu wameamini
Wakenya wanapata tabu sana, jana wameongezewa tena siku 30 za lockdown
 
Corona? What corona..??

Mimi toka mwanzo nilipinga kabisa lockdown.

Huo ugonjwa haukustahili kabisa kuwa ndo sababu ya ku shut down uchumi wa dunia.

Binafsi naanza kuamini pengine ilikuwa ni moja ya njama za kumuondoa Donald Trump madarakani.

Haiwezekani eti wiki mbili tu zilizopita tulikuwa tunatishwa kwamba sehemu zina open up too soon.

Nakumbuka Governor Brian Kemp walimsema sana alipoanza kuruhusu jimbo lake li open up kidogo kidogo.

CNN walikuwa mstari wa mbele sana ku promote hofu kwa watu.

Leo hii habari za COVID-19 hazipo tena CNN...

Hakika Rais Magufuli ni mwamba kwelikweli💪🏿💪🏿
😃😃 huu ugonjwa mimi nilianza kuwa na mashaka nao tangu ulipo tangazwa kuwa ni tishio duniani..pale nilipoona ma_celebrity wakubwa duniani pamoja na wanasiasa wakijitangaza kuwa wameathirika nikaona bila shaka huu ni uongo mkubwa na hao ma celebrity walikuwa wanatumika ili kuupa kick

corona ni janja tu
 
Back
Top Bottom