KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Nimeona ni vizuri kuhusu uzindizi lakini kusema leo ndo tanzania imeenda next level wakati zipo media zipo na zingine za serikali lakini cha kushangaza Waziri hata kuipa pongezi TV ya taifa kuwa yakwanza kujiunga na DSTV.Kashindwa anaipaisha Clouds Tv ama kweli nchii haina uzalendo.