Hahahahahah!
Jomba kinachoongelewa hapa ni choo cha public1...huh!Ina maana wewe tangu uzaliwe kwenye familia yako hujawahi kuwa na wanawake ambao mnashare vyoo au mabafu.
Kuna watu mnaulizaga vitu kama mna utindio wa ubongo...
Mimi mwenyewe hii ni puzzle kwangu na sijabahatika kuona hadi umri huu.
Huwa najiuliza hasa vyoo vya public vya wanawake vinafananaje, hasa kwa kuzingatia maumbile yao na mikao yao...huh!
Cha kutisha zaidi ni pale ninaposikia msemo "Umeingia choo cha kike" hii inashuhudia kuwa kina sintofahamu kubwa.
Wadau,
Nataka kujua real choo cha kike kikoje? wanume tu wajibu wale walioingia choo cha kule, na akina dada, hapa ndo penu mtuambie!
Jomba kinachoongelewa hapa ni choo cha public1...huh!
Kwa gentlemen utaona urinals za namna hii, je kwa wanawake inakuwaje?
vaa gauni, jipodoe ufanane na binti halafu ingia uone. mbona ni simpo tuu