Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 2,443
- 2,151
Hakuna jimbo lenye jina hilo kule China.Quingdao ni jimbo nililotembelea na kujionea umaskini wa waChina uliokithiri
Au ulimaanisha Qingdao?
Na Qingdao sio jimbo ni jiji na liko vizuri tu.
Hakuna jimbo lenye jina hilo kule China.Quingdao ni jimbo nililotembelea na kujionea umaskini wa waChina uliokithiri
Hapana wana self esteemWanauza bangi ama?
ndo nini hio?Hapana wana self esteem
Quingdao ni jimbo nililotembelea na kujionea umaskini wa waChina uliokithiri
Ulaya na USA kila binadamu mwenye akili timamu anatamani afike huko ndiko walipo binadamu.
Maneno yako yamenigusa Sana! DaaahMiongoni mwa 39 waliokufa ndani lahilo container 'metal coffin' ni huyu mdada yani imeniuma sana alimuandikia mama yake sms kwaheri sisi ndio hivyo tena tunakufa taratibu. Kwasababu walisimikwa ndani na ni soundproof. Hiki kitu kimenifanya nilie kabisa. Unakufa hivi hivi unaona Mnajaribu kupiga kelele wapii. Hii chansi ninayo ya kubeba boksi Denmark nitaitukuza milele. Ndio maana kila wakati napochoka na sometimes kukata tamaa nikibeba boksi nakumbuka nilipotoka na nakumbuka malaki wanavyohatarisha maisha kupata fursa kama hiininayo yani sichoki.
View attachment 1244873Pham Thi Tra My enzi za uhai wake
Mzuqa
Vifo vya watu 39 walioswekwa na kusimikwa kwenye trela refregirate vimetingisha vichwa vya habari duniani.
Inasadikika raia hao wanaume30 na wanawake 9 wengi wao ni wa china na baadhi wa Vietnam walikutwa wamekufa kwenye container lililokuwa linatoka Bulgaria kupitia ubelgij hadi uingereza.
Sasa najiuliza China inasifiwa kuwa nchi Tajiri na yenye uchumi mkubwa hata kuzidi Marekani kwanini wanainchi wake wanalia njaa na maisha magumu hadi wanahatarisha maisha yao kufika ulaya?
Ni Taiwan na Hong Kong tu ndio visafree kuingia ulaya Marekani na Australia lakini huko mainland lazima uombe visa kwa nini ni hivi?
Kingine licha ya utajiri na uchumi mkubwa mbona wazamiaji hawajisumbui kuzamia China licha ya Visa yake kuwa rahisi?
Bado Ulaya na USA ni sehemu kila mwanadamu mwenye akili timamu (kujitambua) anatamani afikeMimi mzoefu hapo lakini Kumbuka ni mojawapo wa mji unaokuwa Kwa kasi ,Ndio mji wa mambo ya Entertainment Sawa na Holly hood America
Ukiona mtu anauza mahindi kariakoo ujue alikotoka zaidi ya kilometres 3000 kuna njaa kuliko kazulamimba kwa akina zito au sombanyasoko kwa wakina heche
Km 3000!?Ukiona mtu anauza mahindi kariakoo ujue alikotoka zaidi ya kilometres 3000 kuna njaa kuliko kazulamimba kwa akina zito au sombanyasoko kwa wakina heche
Sema baba sema,ebu tiririka zaidi..!Quingdao ni jimbo nililotembelea na kujionea umaskini wa waChina uliokithiri
Kutoka marekani kuingia china ni rahisi ila kutoka china kuingia marekani ni balaa. Believe me china kuna wamerakani kibao wanafundisha kingereza na wazamiaji wasiokua na viza ni kama wote.Sijawahi sikia wale maskini wamarekani wanazamia kwenda nchi zingine kutafuta maisha
Tanzania tutaipiku Ulaya pundeUlaya na USA kila binadamu mwenye akili timamu anatamani afike huko ndiko walipo binadamu.