Hivi China kuna njaa kali hadi raia zake wako radhi kufa kufika Ulaya/Uingereza

China kuna njaa Kali tu.Huoni raia wake wamekamatwa wanachimba madini kiholela bila vibali?Lini ulisikia mzungu Marekani,mwingereza,mjerumani au mfaransa amekamatwa kwenye deal za kipuuzi kama hizo?Mara wachina wameshikwa na pembe za ndovu.Akili za kichina ni za mafisiem!
Wazungu wanaiba kwa akili ila wizi kinyama

Kwanza wana wagawa mpigane den kukishakua hakueleweki ss wana amua kufanya yao

Wanaiba syria wanaiba iraq wanaiba libya na kwengineko
 
Kuwa Muelewa, Kaka, amemaanisha kuwa Magorofa Makubwa, Flyingover, Ndege kubwa sio kigezo cha utajiri wa Nchi..

Nchi za Scandinavia,.. Denmark, Norway, Sweden kila mwaka nchi hizi zinachaguliwa kuwa nchi zenye raia wenye furaha, Nchi bora kuishi Duniani..

Nchi za Scandinavia, Elimu bure, matibabu bure, kila mwezi unapewa Pesa za kuishi kama huna kazi, mtoto akizaliwa analipwa kila mwezi mpaka atimie miaka 18,.. nk

Hizo nchi hazina hata shirika la ndege kwa nchi moja moja, SAS,.. Scandinavia Air Services ni shirika la ndege la nchi tatu, ni kama vile ilivyokuwa East African Air lines..

Sisi tunakurupuka kununua Ndege kwa Pesa taslim lakini wagonjwa wanalala chini mahospitalini, Elimu ndio hivyo.. Etc
Elimu bure matibabu bure na vitu vingi vya bure vilikua vinapatikana LIBYA

Jamaa wakaona raia walibya wanafaidi wamewatia dhikini ss


Wazungu sio watu wema kabsa
 
China kuna maendeleo sana na selikari yake kwa sasa wana jitahidi kupeleka maendeleo hayo kwa RAIA. Kama sasa hivi majimbo mengi yana program ya kuua vijiji wana nchi wote wanahamishiwa mijini.

Tatizo kubwa lililopo China serikali inawabana sana raia wake na hapana uhuru kabisa hasa wa kufanya maamuzi dhidi ya viongozi (democracy) yaani wanaishi kama watu ambao wako jela huku wanapewa huduma nzuri. Hiki ndicho kinachowakimbiza anaona bora aje kariakoo auze mahindi lakini akitaka kugonga dem mzuri uhakika yaani hakai ile kiuogauoga.
Nikweli wachina wanabana sana na sheria zao, kuna kampuni ya wachina sana tafiti mafuta na gas, yan hawa ruhusiwi kuwa na demu ata kuchukua chagudoa sheria yao inawabana.
 
Tuongee yote mwisho mimi binafsi naamini mwanadamu ameumbwa aishi kwa amani na uhuru
Sehemu yoyote akikandamizwa kimawazo na haki hawezi kupapenda
Maana hata Mungu alituumba akatuacha tujitawale then atatuhukumu kutokana na sheria
Nchi zote za ukomunist watu hawana uhuru kabisa hivyo wanaamua kuondoka
Tunazihukumu nchi za magharibi lakini zina mifumo mizuri mfano naweza kua muhamiaji haramu na nikadai haki zangu za kihamiaji haramu kisheria nikapewa kitu ambacho sehemu nyingine hupati
Kelele tunazoanza kupigiwa na media za west sio nzuri kwa afya ya nchi trust me
We need to change as the nation
 
Back
Top Bottom