Hivi China kuna njaa kali hadi raia zake wako radhi kufa kufika Ulaya/Uingereza

Mazuzu ya Lumumba muda wote kujipa kiki alienda kujifunza usoshalisti bila kujua mji wake unaitwaje
Hakuna jimbo lenye jina hilo kule China.

Au ulimaanisha Qingdao?
Na Qingdao sio jimbo ni jiji na liko vizuri tu.
 
Hakuna jimbo lenye jina hilo kule China.

Au ulimaanisha Qingdao?
Na Qingdao sio jimbo ni jiji na liko vizuri tu.
Fu
Maprofesa wakibishana wewe mbumbumbu kaa kimya kabisa chukua pointing za pande mbili tembea .Hapo in ligi ya media kati ya China na ulaya.Ebu jiulize kwanini wakimbizi kutoka Syria wakiingia Nchi za ulaya magharibi wanaitwa wahamiaji haramu Ila Wewe mwamfrika mweusi unaitwa mkimbizi. Syria njaa in Kali ,Uhispania vurugu kila siku lakini BBC news inaongelea mgogoro wa Guinea .Vurugu Kali na umaskini bado umetawala ndani ya ulaya lakini kila siku wanajadili umaskini wa Afrika.Ebu fikiri Tanzania kuna maeneo mazuri kila kona ya nchi lakini wao wanaonesha vijumba vya ajabu tu Yale maghorofa hawaoneshi.Mavuno mengi hawaoneshi wanaonesha njaa tu.Fikiri kwa kina sana .Penda kutumia Aljazera ,Africa news,France Englishnews. Arabic news. Halafu rudi pitia Uzi wako.Nakukumbusha tu Media no silaha nzito zaidi ya nyuklia.
aiseee chalii yangu wewe ni bonge la zoba. Kwani wanalazimishwa kuingia ulaya?? U have a terrible mental shakeup
 
Nawewe anzisha mada yako yenye hayo mambo
Umekosea kuweka hoja yako .Ungesema mbona China wana ma flyover, ma bullet train,Towers kila mahali ,wana mandege mengi lakini wanakimbia nchi yao? Maana hivi sasa huku bongo hayo ndio tunaambiwa ukiwa na hivyo vitu ndiyo umeendelea .Maendeleo ya watu mifukoni huku danganyika tunaambiwa si maendeleo.
 
Binadamu ni kiumbe mwenye kutaka maisha mazuri, ukiona mtu anaondoka kwao kwenda kutafuta usimshangae mpongeze, mbona hao huko kunakokimbiliwa hawazamii nchi nyingine kwa hatari namna hii? Huko kuna fursa na ndio maana bora kuzipata au kufa kuliko kuishi hovyo na kuhubiri uzalendo wakati unakufa njaa.

Tena unahubiri holela holela km yale makanisa yanayoweka "supika" sokoni wanaanza kuimba na kuabudu nobody care!
 
Uchina hakuna uhuru, uhuru wa habari wala binafsi kama ilivyokuwa kwa Gadafi. Chama na serikali ndo wenye sauti kuu, utajiri hautakiwi China isipokuwa uwe una kitii chama chao cha Kisoshalisti.
Juzi juzi kumekuwa na zoezi la kuvunja vijiji na kuwahamishia mijini ambapo mkazi aliyehamishwa kutoka maisha ya shambani bila ridhaa yake, anahamishwa mjini anakutana na bills za umeme, maji, nyumba hali inayoongeza stress, na hayo yote yanafanywa bila ridhaa yako, hutaki utatiwa ndani, China hawatumii WhatsApp wala Google wanazo za kwao ambazo zipo controlled, China hata chakula wakati fulani huli kile unachotaka wakati fulani unapewa allowance na serikali.
China mtu wa kawaida huwezi kumiliki gari, kuna public transport yaani ni shida.
Wanaokula bata ni wale tu wanaokubaliana na mawazo ya chama chao cha "CCM".
Kuna mchina mmoja tunafanya naye kazi alikuja kama expert akawa anashangaa sana kwa mtu kama mimi ambaye ni mdogo tu kazini yaani "subordinate" lakini natumia simu ya Samsung ambayo mshahra wangu wa mwezi hauwezi kununua hiyo simu. Akashangaa zaidi kwa hako kamshahara ambacho nalingana na anaoupata yeye kule kwao China lakini tayari nina nyumba yangu, gari na piki piki kadhaa. Nikagundua kuwa wachina mtu haruhusiwi hata kuwa kipato zaidi ya ajira yake.
Ndo maana wachina wakija hapa bongo wanatamani wasirudi kwao.
Tanzania hii ni kama USA ila wanasiasa jamii ya kina Fulani wanataka kuiharibu kwa kulazimisha siasa zao za kilofa.
Mzuqa

Vifo vya watu 39 walioswekwa na kusimikwa kwenye trela refregirate vimetingisha vichwa vya habari duniani.

Inasadikika raia hao wanaume30 na wanawake 9 wengi wao ni wa china na baadhi wa Vietnam walikutwa wamekufa kwenye container lililokuwa linatoka Bulgaria kupitia ubelgij hadi uingereza.

Sasa najiuliza China inasifiwa kuwa nchi Tajiri na yenye uchumi mkubwa hata kuzidi Marekani kwanini wanainchi wake wanalia njaa na maisha magumu hadi wanahatarisha maisha yao kufika ulaya?

Ni Taiwan na Hong Kong tu ndio visafree kuingia ulaya Marekani na Australia lakini huko mainland lazima uombe visa kwa nini ni hivi?

Kingine licha ya utajiri na uchumi mkubwa mbona wazamiaji hawajisumbui kuzamia China licha ya Visa yake kuwa rahisi?
 
Kukua kwa uchumi wa China kumetengeneza ma billionaire wengi na mafukara wengi vile vile. Hao ndiyo wanaona bora waende Ulaya wakafanye kazi za chini kabisa. Hawana elimu na ujuzi wa kutosha
 
Ndio nimtoroshe aje kusini nilime nae korosho kiufupi natak ngozi nyeupe tu
Nenda Zanzibar, Tabora, kigoma.. Arusha kuna Wairag wako na ngozi nyeupe, Dodoma kuna Warangi nao wana ngozi nyeupe.
Usipoteze Hela na muda wako kwenda mbali wakati rangi nyeupe ziko hapa hapa kwetu 😊😊
 
Nimekuelewa kiongozi ngoja niendelee kuipokea boeing mpya
 
Bogus baba yako aliyeshindwa kukulea katika maadili hadi unafikia hatua ya kumtukana mkuu was nchi

Kwahiyo mkuu wako wa nchi anaitwa Jiwe!?

I didnt know that!

Sio JPM tena?

Baba yangu bogus ndio,inakusaidia wewe nini?

Ni baba yangu,consequences za ubogus wake unani affect mimi sio wewe,the funny thing wewe unatanua matako huko kwa baba asie kuhusu!

Y'all are Jiwe dick suckers!

Go on,suck him up!
 
Ukifika City Centre yamiji ya skendinevia utashangaa maghorofa mafupimafupi tena ya zamani. Halafu jirani yako kwenye flats anaweza kuwa milionea nakamwe usifahamu
Absolutely! Stockholm, Helsinki, Oslo, Copenhagen, Malmo, Gothenburg, Linköping, Helsingborg, Alborg, Stavanger, Bergen, Tampere, Espoo, Odense, Arhus, Turku, Jyväskylä, Oulu, Trondheim na Norrköping.

Kwa asilimia 75 majengo hayana urefu wa kutisha wa kujiskyscrapper na bado maisha mazuri na majengo hayo mazuri na mvuto wa aina yake.

Na cha kujifunza yupo kijana alikuwa na T-shirts 4, Shirts 5, Jeans 5, Cadet 3, Suits 3, BMW Byke (Baiskeli) na Gari 1 na ni millionaire.
 
Kukua kwa uchumi wa China kumetengeneza ma billionaire wengi na mafukara wengi vile vile. Hao ndiyo wanaona bora waende Ulaya wakafanye kazi za chini kabisa. Hawana elimu na ujuzi wa kutosha
GT yani tangu ubadilishe ile avatar Picha yako ya Cher tuliyokuzoea mtu anaweza kukupita tu humu
 
Umekosea kuweka hoja yako .Ungesema mbona China wana ma flyover, ma bullet train,Towers kila mahali ,wana mandege mengi lakini wanakimbia nchi yao? Maana hivi sasa huku bongo hayo ndio tunaambiwa ukiwa na hivyo vitu ndiyo umeendelea .Maendeleo ya watu mifukoni huku danganyika tunaambiwa si maendeleo.
sasa ndugu ulifikiri kuna serikali itakayokuwekea hela mfukoni, jukumu la serikali ni kutngeneza mazingira ya wananchi kupata vipato , miundombinu ikiwemo.
 
Umekaa unajipa matumani kwamba raia wa scandnavia wana barabara za vumbi na wanaishi kwenye nyumba za mgongo wa tembo lakini wana furaha isiyo na kifani.

Nyie watu embu tuelewane,msiwe wapuuzi namna hiyo.ukiishaambiwa kuna nchi iliyoendelea,inayoendelea,nchi masikini,mjifunze kwa utulivu.

Tafuta vitini vyote duniani uniambie ni wapi umesoma walifika walipo bira kurahisisha mazingira ya utafutaji kwanza.hizo nyumba fupi na scandnavia sio kibanda.ni nyumba kweli.

Huu mjadala ufuatilie kwa makini, sio mjadala wenye lengo la kuzusha mabishano. Kaa tafakari uone ndoto ya kiongoz wako ni kutupeleka kwenye maisha ga China au US na Europe?
 
Back
Top Bottom