Hivi China kuna njaa kali hadi raia zake wako radhi kufa kufika Ulaya/Uingereza

Miongoni mwa 39 waliokufa ndani lahilo container 'metal coffin' ni huyu mdada yani imeniuma sana alimuandikia mama yake sms kwaheri sisi ndio hivyo tena tunakufa taratibu. Kwasababu walisimikwa ndani na ni soundproof. Hiki kitu kimenifanya nilie kabisa. Unakufa hivi hivi unaona Mnajaribu kupiga kelele wapii. Hii chansi ninayo ya kubeba boksi Denmark nitaitukuza milele. Ndio maana kila wakati napochoka na sometimes kukata tamaa nikibeba boksi nakumbuka nilipotoka na nakumbuka malaki wanavyohatarisha maisha kupata fursa kama hiininayo yani sichoki.
View attachment 1244873Pham Thi Tra My enzi za uhai wake
Maneno yako yamenigusa Sana! Daaah
 
Mzuqa

Vifo vya watu 39 walioswekwa na kusimikwa kwenye trela refregirate vimetingisha vichwa vya habari duniani.

Inasadikika raia hao wanaume30 na wanawake 9 wengi wao ni wa china na baadhi wa Vietnam walikutwa wamekufa kwenye container lililokuwa linatoka Bulgaria kupitia ubelgij hadi uingereza.

Sasa najiuliza China inasifiwa kuwa nchi Tajiri na yenye uchumi mkubwa hata kuzidi Marekani kwanini wanainchi wake wanalia njaa na maisha magumu hadi wanahatarisha maisha yao kufika ulaya?

Ni Taiwan na Hong Kong tu ndio visafree kuingia ulaya Marekani na Australia lakini huko mainland lazima uombe visa kwa nini ni hivi?

Kingine licha ya utajiri na uchumi mkubwa mbona wazamiaji hawajisumbui kuzamia China licha ya Visa yake kuwa rahisi?

Watu wanafata democracy!

Wanafata freedom!

Halafu kilaza Jiwe anafuata Chinese totalitarian model!

What a bogus
 
Mleta mada, ukiona mtu katoka sehemu ya mbali kuja kuwekeza hapa Tanzania katika kuuza kahawa na kashata pamoja na kuchoma mahindi misikitini juwa huyo ana uwalakini huko anakotoka. Licha ya yote, Kikwete na mwanaye Ridhiwani ndiyo wanajuwa ukweli zaidi.
 
China kuna njaa Kali tu.Huoni raia wake wamekamatwa wanachimba madini kiholela bila vibali?Lini ulisikia mzungu Marekani,mwingereza,mjerumani au mfaransa amekamatwa kwenye deal za kipuuzi kama hizo?Mara wachina wameshikwa na pembe za ndovu.Akili za kichina ni za mafisiem!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom