Hivi CHADEMA bado wapo?

Nilifikiri wenye mtindio wa ubongo ni Lusinde na Komba pekee kumbe Lumumba mtindio ni fasheni? Kwa hili nalo unalipwa? Basi mlipaji ndio taahira zaidi ya kiwango cha kawaida
 
naona mtoa mada ametoka kuagegedwa na vuvu zela la magamba, na bado.
 
Shetani hana shukrani unaweza ukajituma mtumikia ukimaliza tu anakukimbia sasa hawa hawana tofauti na shetani na sahivi waandae single nyingi watanzania wamefunguka watazikia wao na misukule yao michache iliyoshindwa kujiokoa
 
Nilifikiri wenye mtindio wa ubongo ni Lusinde na Komba pekee kumbe Lumumba mtindio ni fasheni? Kwa hili nalo unalipwa? Basi mlipaji ndio taahira zaidi ya kiwango cha kawaida
Mbona lumumba wamejaa manyani tu, hakuna binadamu hata mmoja.
 
Siku mtu akinitukana kwa kusema "lione lina akiri kama za maccm" nitanyoka nae mpaka nihakikishe mimemwachia alama yoyote mwilini ili iwe kumbusho maisha yake yote hapa duniani!!!!!

Hakuna tusi kubwa kushinda hilo I swear......

BACK TANGANYIKA

hahaha mkuu umetisha hii mijamaa ilipotufikisha ni hatar
 
kadima siku hizi sio chama cha siasa bali ni saccos ambayo makao yake makuu yapo tengeru. pole kama bado unafikiria kile ni chama cha siasa/

 
Kama nimekusoma vizuri ni wazi unakiri kuwa CHADEMA kwa sasa haihitahijiki ama kwa lugha nyingine imejifia, anyway kwa mtazamo wako je CHADEMA au UKAWA ni jibu au suluhisho kwa matatizo ya Mtanzania hususan ukiangalia aina ya viongozi waliokuwepo CHADEMA au UKAWA....hebu fanya assessment ya uongozi wao katika hivyo vyama then uone utayar wao wa kulitoa taifa hapa lilipo na kulipeleka huko unapofikiri...
 

Hapana mpendwa. Ninachojua na kuamini ni kuwa:

1. Nchi hii inahitaji mabadiliko.

2. Mabadiliko hayaji kwa siku moja.

3.Kinachofanyika sasa, ni mchakato wa kuleta mabadiliko hayo, kwa hiyo CHADEMA ikifanya inachoweza mpaka itakapoishia, wakaja wengine kesho wakafanya sehemu yao mpaka tutakapofikia, that is something. Siyo lengo letu kama Watanzania kuwa mabadiliko yaletwe na CHADEMA, ila ni nia na lengo letu kuwa Tanzania ipate mabadiliko.

Kuhusu Uongozi wa CHADEMA.

Uongozi wowote unaweza kuwa mzuri au mbaya. Inategemea na mazingira tu. By the way mimi naamini kuwa Nchi yenye wananchi milioni 45 ina hazina ya kutosha ya watu, hekima, na busara. Kuna wengi sana wenye uwezo wa kuongoza. Na ni kwa kujua na kuamini hivyo, nathubutu kusema wananchi wakiwa tayari kupokea mabadiliko, wanaweza kabisa, bila shaka yoyote, kujiendesha katika mabadiliko hayo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…