Hivi CCM na JK wana Twitter account?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Jamani hivi wale wa kile chama wana twitter account? Maana huu ni mwaka 2011 na si ajabu CCM bado wapo 1961 wakati wa uhuru. Je, na JK na yeye ana Twitter account?
 
Itawasaidia nini twter?washindwe kuhangaikia matumbo yao waende kupoteza muda kwenye pc?Ila kamwulize NAPE
 
Jamani hivi wale wa kile chama wana twitter account? Maana huu ni mwaka 2011 na si ajabu CCM bado wapo 1961 wakati wa uhuru. Je, na JK na yeye ana Twitter account?
<br />
<br />

@jmkikwete n @ccm_tanzania
 
Kunajambo la msingi wanaloandika <br />
kuisaidia tanganyiKa!
Au mapicha ya ccmtuu na umbea?
 
Jamani hivi wale wa kile chama wana twitter account? Maana huu ni mwaka 2011 na si ajabu CCM bado wapo 1961 wakati wa uhuru. Je, na JK na yeye ana Twitter account?
u
JK anayo facebook wall na anayo twitter account, labda nikuulize hivyo vitu vinasaidia nini kutuondoa katika dhiki tulizo nazo?
 
we magamba tu huna lolote.yna tuhusu nini sie wananchi wenye matatizo kibao,ungeend ikulu ukaulize
 
u
JK anayo facebook wall na anayo twitter account, labda nikuulize hivyo vitu vinasaidia nini kutuondoa katika dhiki tulizo nazo?

You have to learn and know your enemies in the same token friends!!!
 
Back
Top Bottom