Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.
Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.
Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.
Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.
naomba wanasheria mlifafanue hilo.
naleta hoja