Hivi Bujibuji nikueleweje?

Hivi Bujibuji nikueleweje?

Acha kijidanganya ndugu yangu jehanamu haikuumbwa kwa ajili ya mwanadamu iliumbwa kwa ajili ya shetani na jeshi lake pale alipomuasi Mungu kule juu kwa kutaka kuchukua utukufu wa Mungu na kuwa na kiburi ndipo aliposhushwa chini ili ajifunze adabu hivyo sisi tulishakombolew kwa Damu ya Yesu na ndipo tukawa watoto wa Mungu soma Yohana 12:1- na kuendelea hutaona hapo kuwa sisi ni wana wa Mungu pale tutakapoamua kuyakabidhi maisha yetu kwa Mungu ndipo twafanyika kuwa watoto wa Mungu kwelikweli, kwa hiyo ndugu yangu jehanaamu sio yetu hiyo nakuhakikishia hakuna mwanachama ambaye yuko tayari kwenda jehanamu wewe anza kuuliza watu humu ndani mmojammoja watakujibu wenyewe
sidhani kama nina neno lolote la kusema kwa ajili ya uponywaji wa Bujibuji
kwani ni lazima watu wote tuende peponi na jehanamu nayo inahitaji wanachama
 
usicheke msaidie mwenzio kwani juzikati hapo gari lake limegongwa pale mjini na kudondokewa na ghora hapoalipo amedata ile mbaya ndo mana hata akamsahau muumba wake huyu Denis Kasekenya
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini nimuondoe na wakati yeye ni kiongozi katika timu yangu na tena yeye nimeona anafaa sana kuliko wengine, kakufanya nini mpaka nimuondoe hapo nielezee?
Haleluya, Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
1 Wakorintho 6:9-10
 
majungu jungulikeni mkichoka mtalala nanjaa

ha ha ha Bujibuji.. kwani haya ni majungu..? ci unajua hata Sauli baada ya kutokewa na Yesu na kubadilika bado aliendelea kupata shida kuaminiwa kama ni kweli alikuwa yule Sauli mkatili.. Vivyo hivyo hata kwako.. itakuwa shida kukubali babe wangu Paloma akusogelee.. ci kwa maombi wala upako..

Haleluya, Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
1 Wakorintho 6:9-10

:nono::nono::nono::nono::nono::nono:..
:A S-confused1::A S-confused1:..
:lol::lol:..
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha Bujibuji.. kwani haya ni majungu..? ci unajua hata Sauli baada ya kutokewa na Yesu na kubadilika bado aliendelea kupata shida kuaminiwa kama ni kweli alikuwa yule Sauli mkatili.. Vivyo hivyo hata kwako.. itakuwa shida kukubali babe wangu Paloma akusogelee.. ci kwa maombi wala upako..

:nono::nono::nono::nono::nono::nono:..
:A S-confused1::A S-confused1:..
:lol::lol:..

hahahahaaaaaa babe una vituko nawe.........ndo mana nakupenda zaidi kila uchao!!!
 
hahahahaaaaaa babe una vituko nawe.........ndo mana nakupenda zaidi kila uchao!!!

Mie pia babe wangu.. Ndo maana ninakulinda dhidi ya hawa wote wanaokuja kwa njia za kitapeli kutaka kuuaminisha umma kwamba wao ni wapakwa mafuta..
 
ha ha ha Bujibuji.. kwani haya ni majungu..? ci unajua hata Sauli baada ya kutokewa na Yesu na kubadilika bado aliendelea kupata shida kuaminiwa kama ni kweli alikuwa yule Sauli mkatili.. Vivyo hivyo hata kwako.. itakuwa shida kukubali babe wangu Paloma akusogelee.. ci kwa maombi wala upako..

:nono::nono::nono::nono::nono::nono:..
:A S-confused1::A S-confused1:..
:lol::lol:..
Haya bhana
 
Back
Top Bottom