ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Haya BUJIBUJI. . . .umenifanya nicheke niliposoma jibu ulilotoa . . .LOL!!
majany kweli nimeamini uhuni hauna tiba.
Kijana ni muhuni wewe, hadi shetani anakuogopa.
Makosa uyafanye wewe kwa mwana mwema binti Sayuni Zion Daughter kisha lawama unitupie mimi.
Kuhusu kusemwa tu, mbona hata Yesu walisema anatoa pepo kwa nguvu za giza?
Usijali mtumishi..Napanda mlimani kwa ajili yako.Hata majany anahitaji maombi pia
ili maombi kwa Bujibuji yafanye kazi ni lazima tufunge na kuomba!plus cha arusha juu!au nimeharibu!?SASA KAMA KAFIKIA KWENYE MIONDOKO YA NAMNA HII ITABIDI NIALIKE TIMU HUMU NDANI YA JF YA MAOMBI KWA AJILI YAKE MAANA SASA IMEFIKIA PABAYA ACHA NIANZE SASA KUIITA HIYO TIMU YA MAOMBI WAUNGWANA WAPENDWA KUJENI HAPA TUMKABIDHI NDUGU YETU KWENYE FARAGA YA MBINGUNI HAYA NJOO charminglady, gfsonwin, Nicas Mtei, Mentor, Madame B, Mamndenyi, Zion Daughter, watu8, kaka Erickb52, Arushaone, Ruttashobolwa, (Baba V, ila usiwe mkolofi hapa na uwe mwenye maombi), Mr. Rocky, Kakaiiza, Mpenda Yesu, stevoh, sokwe, Bakulutu, sweetylady, Mtambuzi, RUKAzwe, snowhite hii ndo timu yangu ya maombi naomba mje tumsaidie huyu kwenye maombi anahitaji maombi kweli ya ziada ndugu yetu Bujibuji
sosoliso umesahau kuwa FEDHA NA DHAHABU NI MALI YA BWANA?Wiki yote hii ya sikukuu Bujibuji ana msiba ladyfurahia.. Gari yake imedondokewa na kifusi cha mchanga wa ghorofa lililodondoka pale mtaa wa Gandhi na Morogoro.. Nikasikia akaamua kwenda kulichukua lile gari alilomuhonga nanihii.. Akakuta yule nanihii ameshabadilisha na jina kwenye kadi.. Naomba kwa sasa mumuache Bujibuji maana amechanganyikiwa..
Sosi: saudari..
SASA KAMA KAFIKIA KWENYE MIONDOKO YA NAMNA HII ITABIDI NIALIKE TIMU HUMU NDANI YA JF YA MAOMBI KWA AJILI YAKE MAANA SASA IMEFIKIA PABAYA ACHA NIANZE SASA KUIITA HIYO TIMU YA MAOMBI WAUNGWANA WAPENDWA KUJENI HAPA TUMKABIDHI NDUGU YETU KWENYE FARAGA YA MBINGUNI HAYA NJOO charminglady, gfsonwin, Nicas Mtei, Mentor, Madame B, Mamndenyi, Zion Daughter, watu8, kaka Erickb52, Arushaone, Ruttashobolwa, (Baba V, ila usiwe mkolofi hapa na uwe mwenye maombi), Mr. Rocky, Kakaiiza, Mpenda Yesu, stevoh, sokwe, Bakulutu, sweetylady, Mtambuzi, RUKAzwe, snowhite hii ndo timu yangu ya maombi naomba mje tumsaidie huyu kwenye maombi anahitaji maombi kweli ya ziada ndugu yetu Bujibuji
Hata mi mwenyewe sijielewielewiTena maombi yenyewe itabidi nifunge mfungo mkavu nisile nisinywe kwa ajili yake kwa kuponya moyo wake kwani hata sasa simuelewi mwenzenu sijiiu kama nyie mnamuelewa vizuri huyu Bujibuji
sosoliso umesahau kuwa FEDHA NA DHAHABU NI MALI YA BWANA?
Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni mtaona?
Kila kitu ni ubatili mtupu.
Ladyfuraha, niko kwenye maombi nasubiri kibali kutoka mahali pa juu palipo inuka, Zion Daughter anajua kabisa akuwa kazi ipo na itasonga mbele, kwa kuwa ni njema machoni pa BWANA
ladyfurahia naomba umuondoe Madame B kwenye hiyo timu, hapana nimegoma kabisa, upako wenu woooote utapotelea kusiko julikana