ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
- #41
Acha kijidanganya ndugu yangu jehanamu haikuumbwa kwa ajili ya mwanadamu iliumbwa kwa ajili ya shetani na jeshi lake pale alipomuasi Mungu kule juu kwa kutaka kuchukua utukufu wa Mungu na kuwa na kiburi ndipo aliposhushwa chini ili ajifunze adabu hivyo sisi tulishakombolew kwa Damu ya Yesu na ndipo tukawa watoto wa Mungu soma Yohana 12:1- na kuendelea hutaona hapo kuwa sisi ni wana wa Mungu pale tutakapoamua kuyakabidhi maisha yetu kwa Mungu ndipo twafanyika kuwa watoto wa Mungu kwelikweli, kwa hiyo ndugu yangu jehanaamu sio yetu hiyo nakuhakikishia hakuna mwanachama ambaye yuko tayari kwenda jehanamu wewe anza kuuliza watu humu ndani mmojammoja watakujibu wenyewe
sidhani kama nina neno lolote la kusema kwa ajili ya uponywaji wa Bujibuji
kwani ni lazima watu wote tuende peponi na jehanamu nayo inahitaji wanachama