ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hay wanajamvi wenzangu
Mwenzenu yaliyonisibu hata nashindwa kuyaelezea hapa kwani
huyu mtu anayeitwa Bujibuji simuelewi kabisa kwani alianzisha
kitu hapa kikamshinda na akatokomea nacho kabisa, sasa
simuelewi ana nini? na wala simuelewi alikuwa na lengo gani,
wewe uanzishe thread nzuri na njema kwetu. Watu tukaipenda
na kuifeel kabisa na mwishowe tukaidondokea na kuizimikia kabisa.
Sasa cha kushangaza jamani huyu mtu ndo akaondoka mzimamzima
kabisa bila kutupa maelekezo yoyote yale na akawapanga watu katika
majukumu mbalimbali ya kufanya kwa hiyo kitu anachotaka kuanzisha,
halafu yeye akatokomea kabisa na wala hajatukumbushia
kwanini alifanya vile.?
Waungwana leo nimeona nimwambie ukweli wake hapa kwani nini
aanzishe kitu halafu hasikitimize kwa wakati wake, au alikuwa
anatujoke kiaina hapa, jamani waungwana naomba mnisaidie nanyi
huyu mtu Bujibuji tumfanyaje? Si mnakumbuka kuwa alianzisha kitu
hiki CHITCHAT PRAISE AND WORSHIP TEAM? akasema kuwa atafanya
maarifa ili kukiendeleza mpaka leo hii naandika hapa hakuna chochote
alichokifanya wala hakuna lolote alilotuambia, TUMFANYAJE MTU HUYU?
si afunguliwe mshtaka, mtaamua mumfanyeje au mumufungulie
mshtaka ya kosa la jinai katika kifungu cha 6 ibara ya 17 nadhani hapo
patamtosha haya jukumu lenu wanachitchat
Sasa jukumu hili nawaachie wenyewe waungwana mm nanawa mikono
kwani sina hatia na mtu huyu kaka bujibuji
Ladyfuraha, niko kwenye maombi nasubiri kibali kutoka mahali pa juu palipo inuka, Zion Daughter anajua kabisa akuwa kazi ipo na itasonga mbele, kwa kuwa ni njema machoni pa BWANA
ha... umejificha! isije yakakukuta ya yule mchanagaji alijificha kufanya maombi kumbe yupo kwa kimada....
Naona leo unamiondoko ya kimtumishi.
I watch you 24/7 nitakupa majibu kama umeacha utapeli wako au lah!!!
YerewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiInabidi tumwombee itaqaful, hadi moshi mweupe utoke
Usijali mtumishi..Napanda mlimani kwa ajili yako.Hata majany anahitaji maombi piaYerewiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mi ntaombewa na Zion Daughter tu, hizo itaqaful tumuombee majany hadi moshi utoke
Yerewiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mi ntaombewa na Zion Daughter tu, hizo itaqaful tumuombee majany hadi moshi utoke
Leo ndio nimetambua kwamba hata my asali wangu wa zamani Zion Daughter alinikimbia kwa sababu nilifanya wrong choice ya mshenga na pasta pia........Mchungaji gani kila kukicha skendoo weeee...Sasa wewe Bujibuji una tofauti gani na Wema sepetu....!!!!sijamanisha jinsia..LOL:bange:
Ladyfuraha, niko kwenye maombi nasubiri kibali kutoka mahali pa juu palipo inuka, Zion Daughter anajua kabisa akuwa kazi ipo na itasonga mbele, kwa kuwa ni njema machoni pa BWANA